Anaewaelewa TCRA juu ya kudai fedha aje atoe msaada

Anaewaelewa TCRA juu ya kudai fedha aje atoe msaada

Kwa upande wangu nilichoshuhudia, walichokifanya wameshusha bei za vifurushi, mfano, dstv kifurushi cha 19,000/= kimekuwa 12,000/=, huenda ndio njia ya kufidia taratibu hayo madai ya wateja. unatumiwa sms ya maelekezo ya bei mpya.
Kuanzia lini hii?
 
Tanzania Broadcasting Corporation (TBC1) ndo mpango mzima. Sisi wa azam tuko na tbc yetu hatuna shida na siku hz tumepata uelewa wa kutosha kuhusu vipindi vyake k.v This week in Perspective, Tafakuri baada ya habari, Tunatekeleza, Technohama, Habari TBC, Mahusiano, Malikale, Zilipendwa, Kiswahili lulu ya taifa, Bango, Chereko, Home, Zinazokiki, Club Raha Leo Show, nk.
Nafrahi pia kuelewa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali hapa nchini, nimewafaham watendaji wengi wa serikali kama MADC, MARC, mawaziri, naibu mawaziri, DED, nk. Safi sana elimu ya uraia ya kutosha kabisa.
 
TCRA ni matapeli kama matapeli wengine tu....... Hakuna haja ya kuzingatia wanayoongoea
 
Back
Top Bottom