Niliona juzi mzee mmoja amekazana kutuma taarifa zake nikamshangaa sana, labda kama wanalipwa na TCRA sawa ila hakuna kampuni yoyote itakubali kufanya kitu kama hicho.Inasikitisha sana hawa watu ni kama hawajielewi.
Alafu hizo hela... Frankly speaking kuna mtu anazihitaji..Mimi nilichokuwa najua ni kwamba, ingetosha kuandika jina ambalo umesajilia, jina la kampuni husika ambayo unatumia kisimbusi chao, jina la kisimbusi + kadi.
Ingetosha wao kujua nililipia kiasi gani toka mwanzo.
Lakini huo utaratibu wao wa sasa hata mm umenishinda
Hapa mwisho wa siku atakayelipwa ni serikali na siyo raia wa kawaida.Alafu hizo hela... Frankly speaking kuna mtu anazihitaji..
Mimi bado nalipia package ile ile...na channel zimeondolewa...na hakuna zilizoongezwa zenye manufaa.
Tunaumizana tuu..
ZUKU hakuna mabadiliko..wanakamua hela ileile. Na wanafyeka channel zote mpaka TBC..Kwa upande wangu nilichoshuhudia, walichokifanya wameshusha bei za vifurushi, mfano, dstv kifurushi cha 19,000/= kimekuwa 12,000/=, huenda ndio njia ya kufidia taratibu hayo madai ya wateja. unatumiwa sms ya maelekezo ya bei mpya.
Mkubwa ZUKU ni wakenya. Waogope kama mchawi wa YangaZUKU hakuna mabadiliko..wanakamua hela ileile. Na wanafyeka channel zote mpaka TBC..
sasa sijui hiyo TBC ya bure inaonekana wapi.
Tunazoeshwa taratibu kuishi bila kupata habari.Alafu hizo hela... Frankly speaking kuna mtu anazihitaji..
Mimi bado nalipia package ile ile...na channel zimeondolewa...na hakuna zilizoongezwa zenye manufaa.
Tunaumizana tuu..