Sasa wakuu nnaofany nao project hawapo kila mtu yupo kwao...na wamegoma wanasema tununue tu huo mda wa kuzunguka hawana...mim ningefanyaje wakuu...ninge fanya project peke yangu ?
Project peke yangu cwezi....kuandika..kuzunguka yan ni kaz ambayo inabid muwe wengi ....alaf pia ndo mana wakaweka idadi kila kundi liwe na watu 6 ktk kufanya project.
Dah! mtoa mada unatafuta project ya kuuziwa....
hili nalo janga lingine, ndo nyie nyie mnaofika chuo kikuu mnanunua assignment afu 1st year tu mshadisco mnasingizia MARA CHUO FLAN GPA ZAKE NGUMU Kumbe ndo product za kununua project na pepa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.