anae uza project

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
675
49
habari ndugu...natafta project...kwa ajili ya form six......mwenye nayo anisaidie au kam anauza aweke bei
 
Dogo usipende miteremko, tumia ubongo wako, acha utegemezi kwa kipuizi...
Kwani unauziwaga mitihani...??
 
Haya janga lingine hili hapa,ndo product za div 5 hv hushindwi omba hata watu wakuuuzie pepa ya necta.nyambaaaaaaafu soma huko
 
Sasa wakuu nnaofany nao project hawapo kila mtu yupo kwao...na wamegoma wanasema tununue tu huo mda wa kuzunguka hawana...mim ningefanyaje wakuu...ninge fanya project peke yangu ?
 
Project peke yangu cwezi....kuandika..kuzunguka yan ni kaz ambayo inabid muwe wengi ....alaf pia ndo mana wakaweka idadi kila kundi liwe na watu 6 ktk kufanya project.
 
Kalaghabaho. Unadhani kwa nini wasingesema hata mtunge hypothetical project wakasema mfanye project? Mtakosa chance ya kujifunza mengi. Shauriyo!
 
Haiyer ...bt watu wenyew ndo tatizo...ntajarbu ongea nao tena....
 
Dah! mtoa mada unatafuta project ya kuuziwa....
hili nalo janga lingine, ndo nyie nyie mnaofika chuo kikuu mnanunua assignment afu 1st year tu mshadisco mnasingizia MARA CHUO FLAN GPA ZAKE NGUMU Kumbe ndo product za kununua project na pepa.
 
Kwakweli hili ni janga la kitaifa. Project ya form six unataka kuuziwa!!!!....

Njoo nikuuzie cheti cha six kabisa ili umaliza mchezo.

Ungekuwa mwanangu ningekubadili na kiroba cha mia tano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom