Anadhani aki-post atanishtua

umri wako tafadhar !!??
 
Mkuu we ungefanyajee
 
Tatizo moyo kaka, afu tabia za mke kabisa.

Dogo alikuwa ananambia Hadi habari za bible ananambia nisome bible, kifupi mtoto mzuri.
we ndo unateseka kuhusu yeye alaf unawabishia wakulungwa huteseki, ni wazi kabisa unampenda yeye kuliko yeye kukupenda wewe na ameshajua hilo.

Hapo ulipo unatamani sana akutafute, na pia unatamani sana kumtumia ata sms lakini unaona kama utakua umejishusha sana[emoji23]yani unajidai kukaza kumbe unamtaka.
 
Ndo maana unapata hizi stress Jichue mkuu
Kaka nyeto inaonekana unazikubali sana nimekutana na comment yako ukiuliza kama... Ushai piga nyeto[emoji23][emoji23].. kwenye Uzi wa wadada wenye makalio
 
Still you've a long way to go bro!!afu ako kademu ni katoto kwa jinsi ulivo simulia apa ,ko kama umekapenda kapende na drama zake [emoji1787][emoji1787]
Tatizo kana ujeuri mwingi sana[emoji1][emoji1]
 
Kukaza muhimuu mkuu ntazoea mbona huko nyuma tulikaushiana[emoji23]
 
Kaka nyeto inaonekana unazikubali sana nimekutana na comment yako ukiuliza kama... Ushai piga nyeto[emoji23][emoji23].. kwenye Uzi wa wadada wenye makalio
Piga nyeto kaka pigaaaaa kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…