Nimecomment kukutukana ila nikafuta. Sema ni utoto wa akili, mwaka jana nami nilichangia uzi flani wa kitoto wakanishushua nikajiona boya sana. Miaka mitatu baadae utaona hizi nyuzi zako ujione ulivyokuwa fala yani unaita wafu JF kuwaeleza 'dogo' alivyokupiga kibuti uko Facebook