Anachotaka ni mimba tu!

Kumbe ni wewe mwenyewe?

Haya kimbia kampe hiyo mimba haraka.

Hayo ya kunogewa na nini hayo yatajisovu huko mbele kwa mbele, hata hivyo huyu unayempa mimba lazima ajue ni mahusiano ya mimba tu.
Ikibidi mpe mimba mbili.

t

tehtehteh..Kongosho bwana!...ila ujumbe wako nao utafanyiwa kazi!
 
mkuu kweli naweza kuwa kaka afu nikajiita "girl" jamani?

Unajua JF sometimes kuna vituko hapa..na wakati mwingine huku kuficha IDs kunaleta mengi. Unajua nini Charminggirl?. Juzi kati hapa kulikuwa na uzi wa mtu anaitwa Zubeda_mchuzi, na kwa kuangalia jina na avatar watu tukajua huyu kwa vyovyote ni mdada.
Loh asalale..kumbe eti mkaka bana. So, haya majina na avatar wakt mwingine hayatoshi ku'demscribe' mtu. Anyway, samahani kama nimekuita mkaka kumbe ni mdada. Na kama hujali nitaku-PM ili nikupe samahani nyingine! just kidding!
 
Mi si namfaham jamaa
huwa akienda kuchota maji anaenda pia kuogelea mtoni
We CUTE utachelewa wala hutamuona
jamani u made ma day kwa kicheko leo jah! sina shaka mana hata ivo alishasema mm na yy ni mwendo wa PM tu mana hataki huku uwanjani wanga wengi
 
Aise na mimi nakaribishwa huko chumbani au niishie hapa hapa sebuleni tuu
SnowBall usikasirike tunachakachua siredi kidogo
 
hapana hapa ni ivuga peke yake anakaribishwa wewe utaishia sebuleni tu kila siku na kuna siku itabidi uishie nje kabisa
 
Bora nisije
Mambo gani ya kuishia sebuleni kila siku bana
Au nije niishie nje
hapana kabisa najitoa kwenye rally
namwachia Saint Ivuga aendelee bana
 
SnowBall mwambie huyo kaka atulie na ndoa yake kabisa labda kama anataka kuiharibu ndio aendelee kumchekea huyo mama tena ikibidi amjuze mkewe mapema mana akija kujua huko baadae itakua balaa hata kama hajafanya mkewe hataamini kua aliikwepa hiyi zinaa
 
Last edited by a moderator:
Bora nisije
Mambo gani ya kuishia sebuleni kila siku bana
Au nije niishie nje
hapana kabisa najitoa kwenye rally
namwachia Saint Ivuga aendelee bana
umefanya uamuzi wa busara sana na umenifuraisha ulivyoelewa haraka sio kama huyu kaka ambaye ana mke na bado anashindwa kumtimua mbio huyo mama anayetaka mimba kwake tena hapo alitakiwa afanye maamuzi peke yake mapema sio mpaka amshirikishe rafiki hapo inaonesha yule mama mtaka mimba anaanza kushinda hilo game na jamaa tayari dilema
 
Yeah huwa inauma sana unapoona mtu anaelezea mazingira ya kutaka kusaliti ndoa yake
Na anakuja na sababu ambazo hazina mshiko wala hazifai
Yaani mtu anajustfy kile anachoona kinafaa kwa upande wake ila bila kujiuliza maumivu ya upande wa pili
na hawa ndo wanaoifanya ndoa ionekane haina maana
 
umeona eeh mtu unaanza kuwaza kumbe walioko ktk ndoa siku akikutana na wakale wake akiomba msaada wa kimapenz atasaidiwa ingawa sio woote wanawaza ivo ila wanaharibia wale ambao hawawazi ivo
na pili anaonesha hampendi sana mkewe mana angekua anampenda sana wala isingefikia hatua ya kumpa huyo mama nafasi ktk moyo wake kumuwaza mchana kutwa mpaka kuja kuomba ushauri kwa rafiki yake hapo inaonesha yuko fifty fifty
 
Unajua JF sometimes kuna vituko hapa..na wakati mwingine huku kuficha IDs kunaleta mengi. Unajua nini Charminggirl?. Juzi kati hapa kulikuwa na uzi wa mtu anaitwa Zubeda_mchuzi, na kwa kuangalia jina na avatar watu tukajua huyu kwa vyovyote ni mdada.
Loh asalale..kumbe eti mkaka bana. So, haya majina na avatar wakt mwingine hayatoshi ku'demscribe' mtu. Anyway, samahani kama nimekuita mkaka kumbe ni mdada. Na kama hujali nitaku-PM ili nikupe samahani nyingine! just kidding!
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/
 
Back
Top Bottom