Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

Ni
Hizi shule sijui mnasoma nini nyie wehu mkuu wa mko

Serikali na viongozi wake wasio na elimu kichwani wala utaalamu wanahangaika sana na swala la elimu wakati tatizo ni mifumo yao ya elimu ni mibovu watawaonea sana tena sana hao walimu kwakweli wakat kosa ni lakwao wao.
Mbona jeshi la polisi linafanya vibaya mauaji kila siku yasiyo koma hajawasema ?? Ukiwa mtupu kichwani hakika hata tafakari hunyimwa
Hermaphrodite tu ndiye Anayevaa Pink!
 
Alipata kwenye ulimwengu wenu mnaoujua ninyi.

Mwacheni kiongozi jembe apige kazi, tena wananchi wengi mnampenda sana sanaaaaaa. Ila wivu unawasumbua shaaaaaaaaaaaaaaaaa


Makonda oyeeeeeeeee
Sawa tumekuelewa.Avatar yako inaongea kila kitu juu yako.
 
teh teh teh, ndio raha ya kuuza ng'ombe na kununua cheti, compitance based curr baadae sana
 
Bashite huyu huyu aliyelewa madaraka,na bado kuna ndina wanamfagilia akifanyacho!,et mkuu wa Mkoa,mkuu wa Mkoa ndiyo asitumie hekima kuongea na Watu,ni mpuuz tu ndiyo atakaemuona yupo sahih et kisa
Mkuu,mbona kuna Watu wakubwa kivyeo lakin hekima imetamalak,ijekuwa bashite!
 
Hakuna Mtu amewahi kupigana vita dhidi ya watumishi wa Mungu akabaki bila laana.

Kitu kinachompa kiburi cha kuwadharau watu ni kwavile amepata kibali machoni kwa Baba na anaendelea kusimama mkono wa kuume kwa Baba.
Hata Shetan aliaminiwa na Mungu lakin kibur,majivuno vilikuwa vyake akajiona anaweza ipo siku Bashite atamgeuka Baba yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom