Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

Si kwa approach hiyo!

Hivi maafisa elimu ndio wanafundisha?

Hivi maafisa elimu ndio wanaoongoza vitengo vya udhibiti wa ubora wa shule?

Hivi Makonda anaona sababu ya poor peformance shuleni ni maafisa elimu tu?

Hivi wakimpelekea kwa uwazi sababu na nini kifanyike kuboresha ufaulu kwa kiwango cha juu hatatahayari huyu?
Kazi kweli kweli...

Hatari si ndogo.
 
Unaweza kuwa na taaluma lakini bado ukawa mjinga unayepaswa kuongozwa.Na kwa taarifa yako elimu sio uongozi. Makonda chapa kazi wengi wanadaresalaam tunakuunga mkono
Hivyo unahararisha tuongozwe na waliopata zero
 
Hy jamaa hajui watoto humfanana baba yao kama yy alifel anategemea nn kwa anaowaongoza
 
Hajatukana mtu, simply amewapa ukweli mchungu....huo upuuzi wa "huyu ni kama baba yangu" upelekeni hukohuko...simply hapo wako kazini...watoto wanafeli alafu mnaleta ngebe?
 
Kila nikimkumbuka jamaa namuona magu hafai. Huyu msela ni zaidi ya zero, yupo negative kabisa. Aisee nashukuru sikua masikini na kufanya kazi chini ya huyu jamaa maana ningemtukana face to face na bongo anavyopendwa na mkuu wangenitupa jela.
 
Anazungumza na Maofisa elimu kama watoto wadogo.
Bro...umekosa hekima


Serikali na viongozi wake wasio na elimu kichwani wala utaalamu wanahangaika sana na swala la elimu wakati tatizo ni mifumo yao ya elimu ni mibovu watawaonea sana tena sana hao walimu kwakweli wakat kosa ni lakwao wao.
Mbona jeshi la polisi linafanya vibaya mauaji kila siku yasiyo koma hajawasema ??
 
Kila nikimkumbuka jamaa namuona magu hafai. Huyu msela ni zaidi ya zero, yupo negative kabisa. Aisee nashukuru sikua masikini na kufanya kazi chini ya huyu jamaa maana ningemtukana face to face na bongo anavyopendwa na mkuu wangenitupa jela.
Hilo tu Mimi ningejifanya Naenda Kumnongoneza huyu Hermaphrodite kitu hala ile anatega sikio nakumba mtu Mkofi wa machoni dadeki! Just kidding!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom