Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

Kwny hii naona kidog amestaarabika nkilinganisha na ile mikutano yake ya dar mpya...
.
Anyway jamaa anachura sio mchezo
 
Hakuna Mtu amewahi kupigana vita dhidi ya watumishi wa Mungu akabaki bila laana.

Kitu kinachompa kiburi cha kuwadharau watu ni kwavile amepata kibali machoni kwa Baba na anaendelea kusimama mkono wa kuume kwa Baba.
out of points go back to Church
 
Hiyo "wig" yako unapoiweka kwa mkichwa tumia super glue.

Ulisema hufungui links. Nimegundua unapenda links za udaku. (shilawadu) kama mkulu.

He he heeeeee mbona link ilijitosheleza kujua kilichomo! na hiyo habari nilishaisoma, sikuona vibaya kusoma ya mwingine alivyoiandika.

Kusoma ya kunipelekea nicheke ni jambo zuri kwangu kuniweka usoni nizidi kuwa na baby face.

Kuhusu shilawadu mmmmmh

Hata siwaangalii kwa kweli sina TV, na kama na wewe unawatizama good for you ni uamuzi wako.
 
Hivi ni kweli jana vilema wamepigwa na polisi? mbona sioni watu wakizungumzia hilo humu.?
 
Anazungumza na Maofisa elimu kama watoto wadogo.
Bro...umekosa hekima


Timua wote hawa mkuu kuanza upya si ujinga mgomba haushindwi na mkungu, nawale wote wasio tangaza habari zao siku zao zinahesabika pamoja sana huwez pendwa na wote wala chukiwa na wote Hapa Kazi Tu 2020 Wewe au Gambo
 
Hebu fikiria kilaza asiye na akili wala cheti eti ndiye bosi wa wenye vyeti na akili zao...ni Tanzania tu. Watu aina hii anawapenda sana Mh. Rais, sijui ni kwa nini!
Uongozi ni kipaji wewe.Mbona huko mitaani viongozi wetu wa mashina/Serikali za Mitaa wenggine ni STD seven na wanaongoza hadi Maprofessa?
 
Hebu fikiria kilaza asiye na akili wala cheti eti ndiye bosi wa wenye vyeti na akili zao...ni Tanzania tu. Watu aina hii anawapenda sana Mh. Rais, sijui ni kwa nini!
Kweli aisee, inatokea Tanzania, yaani Mbowe anaongoza Profesa na wanasheria wasomi na wote wanafyata
 
Si kwa approach hiyo!

Hivi maafisa elimu ndio wanafundisha?

Hivi maafisa elimu ndio wanaoongoza vitengo vya udhibiti wa ubora wa shule?

Hivi Makonda anaona sababu ya poor peformance shuleni ni maafisa elimu tu?

Hivi wakimpelekea kwa uwazi sababu na nini kifanyike kuboresha ufaulu kwa kiwango cha juu hatatahayari huyu?
 
Hebu fikiria kilaza asiye na akili wala cheti eti ndiye bosi wa wenye vyeti na akili zao...ni Tanzania tu. Watu aina hii anawapenda sana Mh. Rais, sijui ni kwa nini!
Mleta mada na wewe pia mna IQ ndogo sana zaidi mnatawaliwa na chiki,fitina,vivu na ujinga uliokubuhu na uwezo wenu kiongozi haufai hata kuwa mabalozi wa nyumba kumi
Mnawezaje kumkosoa mkuu wa mkoa nyie au mmetumwa?!!!!!!!!!
 
Eti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,

Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?

Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!

Makonda oyeeeeeeeee

Update: maneno aliyoandika mwanzoni ambayo ameyafuta yalinipelekea kuandika niliyoandika, kwahiyo ndivyo ilivyokuwa na ujumbe naona alielewa sio lugha za kumuongelea mtu na haswa kiongozi hivyo.

Video clips zingine kwa post hii bonyeza mkuki uende

Bosi wao kivipi?
 
Vyeti feki lazima awe na hasira na wataaluma.Mjinga sana huyu.Hana hata chembe ya adabu
 
Hao walitakiwa wote waandike barua ya kufanana halafu ya kujiudhuru wote kwa pamoja.

Atashangalia kawaweza lakini roho itakuwa inamsuta daima.

For me, huwezi ninyanyasa like sina mikono ya kufanya kazi.
 
Vyeti feki lazima awe na hasira na wataaluma.Mjinga sana huyu.Hana hata chembe ya adabu
Unaweza kuwa na taaluma lakini bado ukawa mjinga unayepaswa kuongozwa.Na kwa taarifa yako elimu sio uongozi. Makonda chapa kazi wengi wanadaresalaam tunakuunga mkono
 

Similar Discussions

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom