Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

Nilichogundua baadhi ya watu mna wivu kwa hao wahaya .hoja ni serikali kutoelekeza miundombinu km vyuo,stendi,nk nk..lakini watu mnaacha iyo hoja na kukimbilia hoja za kipuuzi Mara uchawi,sijui uvivu,majivuno nk nk..YOU PEOPLE ARE U NUTTS..
afadhari ameliona hilo,ukitaka kugombana na watz walio wengi weka hoja mezani yamaana uone wlivio kuwa mbumbumbu wao nampla tu na ndio maana ccm kwa akili za izi za baadhi ya wabogo itafia madalakani
 
hilo linahusika vipi na serikali kujenga miundo mbinu ndio kusema watumishi wote wa umma mkoani kagera ni wahaya? ebu tupe tafiti yako ulio ifanya pia ututajie mkoa wako na kabila lako tilijue
Ninayasema haya kwa chuki binafsi.

Nilipangiwa kituo changu cha kwanza cha kazi mkoani Kagera kama medical assistant enzi hizo, kituo kapuni!

Kituoni hapo ni kihaya kitupu na walipogundua kuwa mimi ni mnyamahanga, basi nilipigwa fitina mpaka nikapoteza uelekeo.

Kwa kuwa vizazi vinabadilika na Mungu kuwaua wafitini na wenye roho mbaya vifo vya mapema, labda jamii hiyo ya wenye roho za kibaguzi ilikwisha malizika!

Lakini kama utamaduni huo wa kibaguzi unaendelea na haujabadilika, basi mkoa huo ni mahali pabaya sana kufanyia kazi, hasa za umma!
 
Serikali timiza wajibu wenu acha kurukaruka kama maharage sufuriani.
Sasa mkuu wa mkoa ndo anatoa hela za kutekeleza Miradi aisee? Lia na Mbunge wenu akalatae kuunga mkono bajeti za mawizara kule bungen8 watamsikia... usidhani wale wabunge wanarukaga sarakasi pale wanajifurahisha...the positivity moja wapo ni utekelezaji wa miradi wanayopigia kelele kule!!!
 
Ninayasema haya kwa chuki binafsi.

Nilipangiwa kituo changu cha kwanza cha kazi mkoani Kagera kama medical assistant enzi hizo, kituo kapuni!

Kituoni hapo ni kihaya kitupu na walipogundua kuwa mimi ni mnyamahanga, basi nilipigwa fitina mpaka nikapoteza uelekeo.

Kwa kuwa vizazi vinabadilika na Mungu kuwaua wafitini na wenye roho mbaya vifo vya mapema, labda jamii hiyo ya wenye roho za kibaguzi ilikwisha malizika!

Lakini kama utamaduni huo wa kibaguzi unaendelea na haujabadilika, basi mkoa huo ni mahali pabaya sana kufanyia kazi, hasa za umma!
acha chuki wewe mbona watumishi makabila tofaoti na wahaya watele ulienda ukakuta wahaya tu ndio walio ajiriwa huko
 
Iweeee

Umeandika Kiswahili au Kihaya?
hacha kupotezea taja kabila lako na mkoa wako tulijadili kisha tulinganishe na wahaya kuanzia elimu makazi maisha kwa ujumla chawi roho mbaya ubinafs nk usipotezee taja
 
Msukuma wa Rocky city.

Haya nimetaja kijana myaya
 
acha chuki wewe mbona watumishi makabila tofaoti na wahaya watele ulienda ukakuta wahaya tu ndio walio ajiriwa huko
Acha kutetea bila kufanya utafiti wowote ndg, sisi tulioishi kwenye mataasisi tunajua tunachokiongea.

Kama jamii imebadilika na kuacha kuongea kihaya mahala pa kazi, basi kuna mabadiliko makubwa sana ya kistaarabu yamekwiaha fanyika.

Utetezi wako umenipa kazi ya kufanya utafiti wangu pole pole kuulizia kama huo ujinga bado upo.

Na kama bado upo basi nitakulaumu sana mdau kutetea mmomonyoko wa maadili mradi tu wewe ni mhaya bila ya kufanya reserch ya kina!
 
Ninayasema haya kwa chuki binafsi.

Nilipangiwa kituo changu cha kwanza cha kazi mkoani Kagera kama medical assistant enzi hizo, kituo kapuni!

Kituoni hapo ni kihaya kitupu na walipogundua kuwa mimi ni mnyamahanga, basi nilipigwa fitina mpaka nikapoteza uelekeo.

Kwa kuwa vizazi vinabadilika na Mungu kuwaua wafitini na wenye roho mbaya vifo vya mapema, labda jamii hiyo ya wenye roho za kibaguzi ilikwisha malizika!

Lakini kama utamaduni huo wa kibaguzi unaendelea na haujabadilika, basi mkoa huo ni mahali pabaya sana kufanyia kazi, hasa za umma!
Njoo na hoja za kwanini serikali haifanyii kazi ishu za kujenga vyuo,kuboresha meli,kujenga soko na stendi..mbona unakuja na hoja nyepesi,taja mkoa wako tuone km watu wa huko hawana fitina..jaribu kujibu swali la msingi acha kupuyanga
 
Mada yako nimeiunga mkono kwani umeeleza uhalisia.

Malalamiko yako ni point tupu, sema haya mengine ni ziada baada ya wewe kuanza utetezi kwa mapangungufu ya raia wakazi!

Ndiyo wazazi wa mfano wako huwa hawakubali kusikia hata kama kuna ukweli kuwa mtoto wake ni kibaka, mpaka asikie kachomwa moto na raia wenye hasira.
Kama dosari ipo,ipo tu utetezi kwenye kasoro huwa haujengi.
 
Msukuma wa Rocky city.

Haya nimetaja kijana myaya
haya uzuli wenu nyiyi sukuma ni hupi? nawajua vizuli kuanzia mwanza shinyanga kahama tabora mwambiti mpaka pote mlipo, ila mimi sio kama wewe usie jitambua siwezi wakusanya wasukuma wote nikatwisha tabia mbaya ya kukata viungo alibino na kuua wazee vikongwe kisa macho mekundu uchawi uliopitiliza wa kuwafanya watoto wawatu misukule huko gambushi na ushamba chunguzima mlio nao hizo ndizo baadhi yatabia zenu mbaya lakini wapo wasukuma wema sio wote wenye tabia za kishenzi kama zako wewe mshamba
 
Acha kutetea bila kufanya utafiti wowote ndg, sisi tulioishi kwenye mataasisi tunajua tunachokiongea.

Kama jamii imebadilika na kuacha kuongea kihaya mahala pa kazi, basi kuna mabadiliko makubwa sana ya kistaarabu yamekwiaha fanyika.

Utetezi wako umenipa kazi ya kufanya utafiti wangu pole pole kuulizia kama huo ujinga bado upo.

Na kama bado upo basi nitakulaumu sana mdau kutetea mmomonyoko wa maadili mradi tu wewe ni mhaya bila ya kufanya reserch ya kina!
wewe kabila gani?
 
Ninayasema haya kwa chuki binafsi.

Nilipangiwa kituo changu cha kwanza cha kazi mkoani Kagera kama medical assistant enzi hizo, kituo kapuni!

Kituoni hapo ni kihaya kitupu na walipogundua kuwa mimi ni mnyamahanga, basi nilipigwa fitina mpaka nikapoteza uelekeo.

Kwa kuwa vizazi vinabadilika na Mungu kuwaua wafitini na wenye roho mbaya vifo vya mapema, labda jamii hiyo ya wenye roho za kibaguzi ilikwisha malizika!

Lakini kama utamaduni huo wa kibaguzi unaendelea na haujabadilika, basi mkoa huo ni mahali pabaya sana kufanyia kazi, hasa za umma!
wewe kwenu mkoa gani kusipo kuwa na fitina ubaguzi?
 
haya uzuli wenu nyiyi sukuma ni hupi? nawajua vizuli kuanzia mwanza shinyanga kahama tabora mwambiti mpaka pote mlipo, ila mimi sio kama wewe usie jitambua siwezi wakusanya wasukuma wote nikatwisha tabia mbaya ya kukata viungo alibino na kuua wazee vikongwe kisa macho mekundu uchawi uliopitiliza wa kuwafanya watoto wawatu misukule huko gambushi na ushamba chunguzima mlio nao hizo ndizo baadhi yatabia zenu mbaya lakini wapo wasukuma wema sio wote wenye tabia za kishenzi kama zako wewe mshamba
Mhaya tulia ujifunze kuandika. Huna AKILI
 
Serikali inapeleka maendeleo sehemu ambayo wananchi wanakubali kupata maendeleo, inshu ya Stendi miaka kumi Bado tu mnajadiliana...maana yake hakuna anayekubal kushindwa.. maendeleo mnapataje... Endeleni kuongea kiingereza cha yes/no..tu.mtabakia hivyohivyo.chalamila wacha awagonge nyundo vichwa viamke..

Mimi kuna mambo mengine naonaga wanawalaumu wasomi wa Kagera kimakosa sana. Pengine ni kimkakati ili kuendelea kufunika lengo la serikali kuubakisha mkoa wa Kagera nyuma. Hii inafanya kimakusudi kuharibu mindset za watu watoke katika kuwazia mipango ya serikali ikae kuwawazia watu mmoja mmoja wa Kagera.

Imagine watu wa kawaida na wanasiasa wanasema Kagera pamoja na kuwa na wasomi wengi imeshindwa kuwa na stend nzuri ya mabasi! Usomi unawasaidia nini? Ila ukiwauliza ni mkoa gani ambao wenyeji wa mkoa huo wamejijengea stend yao?

Wanasema sijui soko, siju miundo mbinu mjini, n.k wakiihusisha na usomi wa wahaya. Kuna kabila ambalo limejenga soko mjini kwao??

Kama hao maprofesa mnaowasema kuwa ni wasomi uchwara na hawajaleta maendeleo Kagera, mbona wao mmoja mmoja wako vizuri sana na familia zao na koo zao? Umeshaenda katika vijiji vya wahaya? Umeshaona walivyojijenga? Unaweza kulinganisha na mkoa gani tofauti na Kilimanjaro?

Suala la maendeleo ya jumla ya jamii ni jukumu la serikali. Serikali isijiegeshe kwenye kauli za ubaguzi. Wameshawahi kutenga bajet ya kujemga stend mpya ya kisada hela zikaliwa na hao wahaya maprofesa? Mbona mikoa mingine, tena hadi wilaya tu za mikoa wanapeleka hizo fedha?

Yaani wanasema Bukona mjini hamna hata taa za barabarani usiku, alafu mtu anasema PAMOJA NA USOMI WOTE WA WAHAYA, as if ni jukumu la mtu binafsi kuweka taa barabarani.

Mkoa hauna chuo kikuu pamoja na kuwa ndo mkoa ambao bado unasukuma wasomi wengi zaidi katika mfumo wa elimu wa taifa kuliko mikoa yote, lakini mtu badala ya kuoiga kelele serikali ifanye juhudi za kuketa chuo ili watoto wakasome ana kazi ya kuwananga ma doctors na wasomi wa kihaya kwa sababu tu ya chuki zake. Mnaweza kutwambia mkoa ambao wananchi wake wamejenga chuo kikuu??

Kahawa inazalidhwa Kagera lakini miaka yite mnada wa kahawa badala ya kufanyika Kagera eti ulikuwa unafanyika Moshi. Yaani kahawa ya Bukoba mpaka ipelekwe Kilimanjaro kuuzwa. Hili nalo ni la wasomi? Wizara zinakuwa hazioni? Kuna mambo mengi sana ya hovyo yanafanywa na serikali kuirudisha Kagera nyuma. So sad

Serikali imeitupa Kagera miaka mingi sana na kimakusudi kabisa. Zifanyike juhudi za wazi kuiamsha Kagera, na sio hizi propaganda za kuwalaumu watu wa Kagera kwa kuwa na akili za darasani na kudoma sana. Kwani ni makosa?? Wamevunja sheria gani??
 
Back
Top Bottom