Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

Anachokitafuta RC wa Kagera atakipata

Serikali inapeleka maendeleo sehemu ambayo wananchi wanakubali kupata maendeleo, inshu ya Stendi miaka kumi Bado tu mnajadiliana...maana yake hakuna anayekubal kushindwa.. maendeleo mnapataje... Endeleni kuongea kiingereza cha yes/no..tu.mtabakia hivyohivyo.chalamila wacha awagonge nyundo vichwa viamke..
wewe na chalamila washenzi watupu
 
Njoo na hoja za kwanini serikali haifanyii kazi ishu za kujenga vyuo,kuboresha meli,kujenga soko na stendi..mbona unakuja na hoja nyepesi,taja mkoa wako tuone km watu wa huko hawana fitina..jaribu kujibu swali la msingi acha kupuyanga
kweli anapuyanga
 
wale wauza ndizi kwa sadala kutoka milimani na funza miguuni na miguu iliopasuka ni watu gani? wale wanawake watembeza karanga mitaani na mayai ni watu gani? kule same milimani wanakoishi wapale na roho mbaya waso fua ni watu gani? kule chekelei wanaofanya vibalua kwenye mashamba yetu ya vitunguu mchana usiku pombe ni watu gani?
 
Hakuna sehemu hakuna maskini. Pima kimkoa Kagera hata kitakwimu huwa unakuwa kwenye 3 bora za mwishoni. Hata kimapato. Ni mkoa maskini sana na watu wake pia wengi hawana uwezo hata kiuelewa na kujiamini. Ndo maana hujifanya kama ni watu wa class ya juu sababu ya ushamba ili waonekane wa maana. Kagera ni mkoa wa hovyo sana

3bora!

Ni mkoa wa mwisho kabisa angalia takwimu za mwaka jana.

Kama ni mtihani tungesema waliangukia pua kwa O kubwa au "matunge" walikuwa wanasema zamani!
 
Hakuna sehemu hakuna maskini. Pima kimkoa Kagera hata kitakwimu huwa unakuwa kwenye 3 bora za mwishoni. Hata kimapato. Ni mkoa maskini sana na watu wake pia wengi hawana uwezo hata kiuelewa na kujiamini. Ndo maana hujifanya kama ni watu wa class ya juu sababu ya ushamba ili waonekane wa maana. Kagera ni mkoa wa hovy
wale wauza ndizi kwa sadala kutoka milimani na funza miguuni na miguu iliopasuka ni watu gani? wale wanawake watembeza karanga mitaani na mayai ni watu gani? kule same milimani wanakoishi wapale na roho mbaya waso fua ni watu gani? kule chekelei wanaofanya vibalua kwenye mashamba yetu ya vitunguu mchana usiku pombe ni watu gani?
 
Kisomi au Kipumbavu? Katetea kipumbavu. Hawa jamaa wengi hawajaelimika.
Kuelimika unalinganisha na makabira gani wagogo, wamakonde, wasukuma.

Unaweza kuta anayeponda ni mzaramo mmoja mpumbavu tuuu aliyeshindwa kumaliza darasa la saba, anapiga debe na kupata bukubuku anakuja kutukana watu apa
 
Huyu anayeandika
Makabira❌ makabila
Tuuu❌tu
Apa❌hapa

Unajua tu hana Elimu. Kiswahili tu lugha yake ya Taifa kinamshinda. Atakuwa ni empty set. Hopeless kabisa.🤣
 
Mimi nina asili ya Kagera...uneandika kutetea kama ilivyokawaida yetu. Uvivu, maneno mengi, kujipa status ambazo hazipo, kuchagua kazi, ujuaji mwingi, ubishi ndo chanzo cha umaskini wetu.

Hata hao wasomi wetu ni yaleyale tu....ujasiriamali ulitupita kushoko sababu ya kukataa kushuka....kukubali mateso..ili baadae kufanikiwa....

Tuache kusingizia serikali kama ndo muhusika namba moja, mchawi wa wana Kagera ni wana-Kagera kwanza.Angalia sasa wameingia wasukuma, ndo wanalima bustani...nyanya, mbogamboga wanauza kwa wazawa....sisi bado tumelala..

Mkoa umebarikiwa mvua ya kutosha, hali ya hewa, mito kila sehemu..lkn watu wamejukinyata na ujuaji tu mwingi....Watu hatuna umoja....ingia kwenye forums zao kila mtu ni mjuaji, kila mtu mtoa ushauri.....

Tusipobadirika, tukaanza kurudi chini na kupambana upya, tukaacha maneno mengi, tukatengeneza jamii za kiuchumi..tutaendelea kuwa maskini..na tena nasema umaskini utaendelea kupiga vizazi na vizazi.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
kuna maendeleo aina 2 wewe unaongelea yapi yakuletwa na serikali au wananchi?
 
kwa hakili hizo lazima ccm ifie madalakani kama mkuu wa mkoa analaumu watu kutojenga sitndi soko barabala maji shule hali yakuwa jamii hiyo inalipa kodi alafu wanapatika watu kumpongeza .na kuungana nae
Kwa uandishi huu ndo maana CCM haiwezi toka madarakani.
 
Back
Top Bottom