Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Good governance!!! Mi naona anavofanya PM ni sahihi meneja aliamua kumuongopea PM mbele za watu na camera zikiwa zinarekodi ndipo PM nae akaona nae amjibu pale pale ili kuweka kumbukumbu vizuri asije onekana ni PM anaekubali kuongopewa mbele za machoya camera bila hivo mtasema PM dhaifu anakubali uongo au nae anahusika
 
Watu wamesoma sana hiyo Good Governance ndio maana wanaju jinsi ya kucheza nayo.
JPM aendelee hivohivo. Akipita mulemule watamshinda wataalamu wakongwe wa KOMBOLELA aka Good Governance
 
Inaonekana unamaslahi ya hao viongozi ujumbe umefika ila siiufanyii kazi....
 
Yaani nahisi pasico maslahi yako yanaminywa! tulia dawa ikuingie sindano ndo imeshazamishwa. wewe kila kitu unalalamika.
 
Pasco yaani unataka ucheke faragha na mwizi wako?
 
Last edited by a moderator:
Tunaamini katika uwazi serikalini anafanya vizuri sana angekeua amevamia hosipitali nakuanza kumuuliza daktari siri za wagonjwa ndio ingekeua mbaya lakini kutufanya wananchi tufahamu kwamba serikali ya awamu ya nne ilikua ni ya kibrazameni na kifisadi sio mbaya
 
Halafu, hao wote si walikuwa kwenye serikali iliyopita?

Manake wanachofanya sasa ni kama kuivua nguo hiyo serikali.

Ina maana walikuwa wanatumikia serikali iliyokuwa imefeli?

Hawakuwa na namna nyingine, labda walikuwa wakisali wadondoshewe mamlaka makubwa kama waliyo nayo kwa sasa.

Mkuu sitaki kuamini kama aliekuwa kiranja mkuu hausiki na upotevu huu wa kodi, makontena sio kiberiti lazima nguvu za mnene zilitumika hapa kwa maslahi fulani.

Kipindi cha uongozi uliopita tulitamani kupata raisi dikteta, tuvumiliane kwa sababu uharibifu ulishafanyika mkubwa sana.
 
Hawakuwa na namna nyingine, labda walikuwa wakisali wadondoshewe mamlaka makubwa kama waliyo nayo kwa sasa.

Mkuu sitaki kuamini kama aliekuwa kiranja mkuu hausiki na upotevu huu wa kodi, makontena sio kiberiti lazima nguvu za mnene zilitumika hapa kwa maslahi fulani.

Kipindi cha uongozi uliopita tulitamani kupata raisi dikteta, tuvumiliane kwa sababu uharibifu ulishafanyika mkubwa sana.

Namna ilikuwepo: kujiuzulu.

Tatizo hatuna huo utamaduni.
 
Wht if Magufuli ndo kamuagiza?
inaitwa good cop na bad cop.....
mmoja awe mkali mwingine awe mpole....

Magufuli hata safari za nje haeni na hataki Makamu aende pia...

kua kitu very wrong na hii administration.....
he is right Kiongozi bora huonyesha mfano. Huwezi kukataza walio chini yako kitunawe unafanya. CEO akiwahi ofisini wote mtawahi tu. Uliza Rais wa Botswana
 
Wht if Magufuli ndo kamuagiza?
inaitwa good cop na bad cop.....
mmoja awe mkali mwingine awe mpole....

Magufuli hata safari za nje haeni na hataki Makamu aende pia...

kua kitu very wrong na hii administration.....

Mkuu Magufuli bado ana miaka mitano mbele ,safari ambazo haendi ni zipi ??
 
Acha wawavizie tu maana wa Tz wakiambiwa wanatembelewa taanzakuandaa porojo kibao. Kwa awamu hii hatutaki tabia za kikekike kama JK.
 
Tulizowea kila kitu tume,hiyo tume nayo wanatumia pesa ya kufa mtu.
watajibeba hawataki kuwajibika kikazi waondoke tumechoka
 
Anatuma ujumbe kwa Jk!

Nilivyoona hili tukio nikakumbuka na lile la awali nikagundua ni zaidi ya kuumbuana bali huenda hawa watu hawakuwa na good terms maana huu sio utamaduni wao unless Pombe ameamua kuwa mpinzani.

Nchi hii ilivyooza haitajiki kuchekacheka kama vile unauza Sura. Mtu kama amefanya makosa atolewe nyongo hapohapo.
 
Hayo ni maoni ni kwanini unataka uyalazimishe kqwa WatanZania wote? Hayo ya utawala bora ni kulingana na tafsiri yako wewe na jinsi unavyoongoza familia nyumbani kwako usitake kutuletea kwenye nchi yetu, tumeshatoka huko, tumeshayafanya yote hayo ya kuitana faragha, kuundiana tume, kuonyana kwamba ninawajua wala rushwa msipojirekebisha mtakona cha mtema kuni kote huko tumepita lkn matokeo yake nikwamba makontena zaidi ya 2500 hayajalipiwa kodi, yaani yamekombolewa Bandarini bila kulipiwa sasa huu ni uhujumu Uchumi na kwa nchi nyingine adhabu yake ni sawa na Uhaini kwani unalinganishwa na uuwaji watu wote waliofia mapokezi kwa kukosa dawa hospitalini wameuliwa na hawa wezi!

Hivyo tuache na Magufuli wetu tumeshamkubali jinsi alivyo na vyovyote anavyofanya ana baraka zetu, na ndio maana ya kushinda Uchaguzi na kuwa Raisi vinginevyo basi kila mtu angejiongoza?

Mkuu,
Nafikiri umejibu mada Kizalendo na kwa busara. Ukiona mtu yoyote hakubali na anapinga haya yanayofanywa na Serikali ya awamu ya 5 Ujue ana Maslahi na UHUJUMU UCHUMI, ULANGUZI, UFISADI, UZEMBE, UBWANYENYE, ULAFI WA MALI YA UMMA n.k.
Meneja wa Bandari alipoulizwa na Waziri Mkuu kuhusu suala la Makontena kutoka bila kulipiwa, live bila chenga alianza kumdanganya na kumpiga sound Waziri Mkuu. Pasipo kujua kwamba Mheshimiwa ana data zote. Kukwepa Kodi kwa Makontena almost 2500 ni zaidi ya UHUJUMU UCHUMI...HAWA HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI.

Halafu bado kuna watu wanataka tubembelezane na kutumiana Kadi za kitchen Party business as usual. Muda huo ulikwisha awamu ya 5 ilipoingia madarakani.
WATANZANIA wote kwa ujumla inabidi ifike wakati tuwe na uchungu wa DHATI na nchi yetu ili tuweze kupiga hatua kimaendeleo na maisha bora kwa kila Mtanzania.
Hatuna budi kuwakataa na kuwaogopa watu wanaopinga haya yanayofanywa na Serikali Kama UKOMA. Kwa sababu ndio Chanzo cha matatizo kwa sisi WATANZANIA.
 
Lowasa alikuwa akifukuza watu bila kuwapa hata haki ya kujitetea, lakini at the end of the day PASCO alikuwa timu yake,Leo hii Prime Minister Majaliwa anawatia jambajamba wazembe wote waliotufikisha hapa,PASCO analia faulo.

Hivi bado tunataka habari za tume?, hivi bado tunataka vikao vya kujadili agizo la waziri mkuu halafu mlipane perdiem ya vikao hivyo?.

ANACHOFANYA PM ni sahihi sana,na tunafurahi kuwa sasa nchi imepata wasimamizi makini, na naomba afike sehemu zote zenye uwozo!.

Haka kanchi kamebakwa sana,sasa ni wakati wa kukapa heshima,ili na sisi tuheshimike!

Haka ka nchi mafisadi walikageuza kama mwanamke malaya, kila anayejisikia anajishikia kalio, chuchu halafu hakuna kinachofanyika!

Mwalimu alisema, Poor countries are like indicent dressed woman it attracts evil minds, Sasa sisi tutauondoaje umasikini kama Wazembe wachache wanaachiwa kutamalaki serikalini?

Sisi tunataka kazi, na sisi Wananchi tunataka hiyo kazi tuione, na Kazi kusema Kweli inafanyika, namuomba tu PM na Prezidaa wasilegeze uzi,wakomae tu mpaka kieleweke!

kupambana na Ufisadi ni vita, na vita siyo lelemama. kuchekacheka na wahalifu ni kuitia nchi kitanzi, serikali ni lazima itishe wahalifu!
 
Pasco acha kutetea ufisadi na wizi,Hivi wewe Kama mwanzilishi wa PPR nikija kukuhoji papo kwa papo jinsi kampuni yako inavyofanya kazi utashindwa kujibu? Mie hata uje niuliza kazi niliyofanya 2008 Nilikuwa nafanyaje nakujibu straight tena na Mie nakugonga maswali.Haiwezekani haujui kazi unazofanya we ndio mtoa makontena unaulizwa mbona haya na vielezo kibao hayajalipiwa haujui,kwa mfano HSC sasa ni GSM afilisiwe hata Kama kabadilisha jina unless Alipe kodi aliyokwepa ndani ya siku 7.
 
Hivi Pasco sio wewe uliye mshauri Rais Magufuli afute utawala wa kisheria aongoze kwa Presidential decrees ??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom