Anachelewa mno kumaliza 2tu nachoka hoi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anachelewa mno kumaliza 2tu nachoka hoi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tasia I, Oct 9, 2010.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hi ni kisa ya ukweli bana imetokea hapa kitaani kwetu jana. wakati me natoka kazini kwangu mida ya saa 2 unusu usiku nikakuta watu kibao wamekusanyika mita kama 67 hivi toka nyumbani kwangu. Nilipouliza kulikoni nikajibiwa kua eti jamaa mwenye nyumba hua achelewa sana kumaliza (kufika kileleni) halaf anauwezo wa kwenda round hata sita, hivyo mke wake huchoka sana round tu yapili. (je tano au sita)??

  Nikarelate na kesi nyingine ambayo niliwahi kuisoma hukuhuku JF m2 akiomba ushauri kua yeye humaliza mno haraka hivyo mke wake humlalamikia kwa kua hainjoi.

  Sasa me naomba jamani wenye utaalam wa kisayansi au hata kienyeji watueleze
  1. sababu za kumaliza ( kufika kileleni) haraka mno
  2. Sababu za kuchelewa kumaliza (kupitiliza mda wa kawaida)
  3.Watusaidie pia kua mda wa kawaida hua ni dakika u masaa mangapi/kufika kileleni
  4. Njia za kuepukana na matatizo haya.

  NB: NAOMBENI TUWE SIRIAS JAMANI HAPA TUNAGUSA SEHEM NYETI MNO. Asanteni nasa.
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  I m sufferind the same experience ,nasubiri wachangiaji kidogo then nitajaribu kutoa experience yangu may be we can help each other.
   
 3. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Fanyeni mapenzi na watu mnaowapenda kwa dhati. Kuopoana kwa ajili ya sura, fedha, majina ya ukoo, kuwa desprate etc kunasababisha kutoweza kuvumiliana. Hii hupelekea kumaliza haraka au kuchelewa kumaliza. Hata hivyo mambo mengine ni ya kibaiolojia zaidi hivyo si lazima kuwa na mtu ambaye hamuendani in terms of speed. Mapenzi kuridhishana, ila kuridhishana huko basi kusisababishe manung'uniko au maumivu.
   
 4. N

  Ngo JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumaliza haraka ni tatizo, na kukawia sana nako inaweza kuwa shida kwa upande mwingine.Maana inatakiwa iwe raha kwa wote. Hopefully hizi njia zifuatazo zitakuwa ni msaada kwa mtu mwenye tatizo hilo.
  Tip 1 - Breathing
  One of the reason for premature ejaculation is not being relaxed. Therefore you need to start deep breathing throughout the day. Start by taking a 7 second long breath through your mouth, at the hold for 1 second and then breath out through your mouth for 11 seconds. Try doing this at least 5 times throughout the day. Also when having sex make sure you breathe through your mouth as it relaxes you way more than breathing through the nose.
  Tip 2 - Blood Flow
  Another reason for premature ejaculation is not being able to get or keep a full erection. In order to get rock solid erections you need a good flow of blood to that region. It's very easy to do this by adding a couple of ingredients into your diet. If you can add a 1/4 teaspoon of cayenne pepper or gingko biloba that will increase the blood flow dramatically and you will enjoy rock hard erections. Another ingredient is l-arginine as it helps with producing NO which is responsible for getting an erection.
  Tip 3 - Kegels
  Kegels are basically exercises for the PC muscle. When you are urinating an you try to stop it you use a muscle called the PC muscle which is located between your testicles and anus. You should also feel it when you ejaculate, it's basically the trigger that shoots the load. These are crucial to lasting way longer but there is a certain way to do the exercise. If you do it wrong it could have a negative impact and make you ejaculate quicker.
  These tips will definitely help you last longer in bed as soon as tonight. But if you want to be able to thrust hard for extended periods of time you need to take it to the next level.

  Good luck.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huyo mzee labda anatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tupe uzoefu Paka.
   
 7. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  hujaeleza kuchelewa kufika kileleni ni muda gani?
  au kuwahi ni muda gani?

  ukipata muda utapata jibu mkuu wala hutategemea ujibiwe
  na mtu mwengine. kwani binadamu tunatofautiana

   
 8. Rah_sputin

  Rah_sputin Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina maana huko mtaani kwenu mnafanya tathmini baada ya tendo? MAKUBWA HAYA!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaaah! Huo mtaa wao kama wanafanya hivyo ni utaratibu mzuri sana maana sehemu nyingi mambo ya unyumba huwa ni siri ya wanandoa/wahusika.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Stori ya kupika..hata hivo mdau utenzi wako sio mbaya sana..

  btw, kwa utatuzi wa shida yako waone wataalamu wa afya..
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Du!
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo wakati unanicoment kipindi hicho hukujua haya? Pia inaonyesha umekua sasa
   
 13. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hata mimi nahisi hivyo
   
 14. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni wakumaliza round ya kwanza, dawa ni moja tu: MAZOEZI. I mean mazoezi ya mwili wako wote. Fanya sit-ups na jogging za umbali wa wastani kila baada ya siku mbili. Lakini dawa hii HAIFANYI KAZI ENDAPO HUJAVUTIWA SEXUALLY NA DEMU WAKO.

  Kama wewe ni kumaliza round ya 12 unatakiwa ujuwe kwamba unamuumiza mwenzako, kwa hiyo njia mbadala za kukufanya umalize wakati muafaka zinahitajika. Including kumshirikisha demu wako katika "kujichua hadi kieleweke " au mpenzi wako afanye "mike check 1,2,3" au "siku ya gulio katerero" au funga main "entrance" na badala yake utumie main "exit", nk. Ukishindwa hiyo tia timu kwa sangoma ili ukafanyiwe ukandarasi.

  All in all, afya yako na mapenzi uliyonayo kwa demu ndio yatakayo determine muda wakumaliza. Wanaume wengine wasipovutiwa sana na demu wanamaliza haraka, wengine kinyume chake.
   
 15. N

  Ngo JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Mazoezi muhimu kwa afya yako kwa ujumla, lakini si mazoezi yote yanaweza kuwa msaada wa sexual organs. Huwezi kusema labda kunyanyua chuma/ kutunisha misuli ya mikono na kifuani itasaidia wewe kuchukuwa mda kumaliza.

  Tendo hilo linajumuisha Sexual organ na mind ya mtu. Kama mind haijatulia unaweza kushindwa hata kusimamisha, na kama ukisimamisha basi utatumia mda mchache tu unakuwa umemaliza. Mazoezi yaliyo ya msaada ni kuimalisha misuri ya mfumo wako wa uzazi. Ikiwa imara utakuwa na control nzima ya tendo hilo na kuamua ni lini umalize. Ikiwa lege lege basi ndo maana unakosa control unamaliza haraka. Misuri yenyewe Iko chini kidogo ya korodani. Nadhani ukiwa unakojoa mkojo, ukiamua kukojoa na kuubana gafla basi utajuwa ni misuri gani inahusika. Hiyo hiyo ndo inabidi uifanyishe mazoezi ya kuibana na kuichia ili iwe shupavu. Na hii ikiwa imara itakusaidia hata kusimamisha kwa mda na hata kwenye uzazi inakuwezesha kurusha mbali mbegu zako.

  Pia ukiwa kwenye tendo lenyewe, Usiende kwa papala kwa speed kama vile unataka kuuwa mtu, au unakimbia mita mia, relax, nenda taratibu, legeza viungo vyako vya sehemu za siri hasa misuri ya nyeti na mapajani/kiunoni hasa pale ukiona unakaribia kumaliza basi msukume mzee ndani kabisa / kinena chako kigote kwenye mlango wa nyeti ya mwenzi wako alafu legeza sehemu za muunganiko wa mapaja, utaona km vile nguvu ya mzee imepungua kidogo, alafu endelea.

  Jaribu pia kupulia mdomoni na siyo puani ili mwili u-relax na speed ya kumaliza Ipungue.Taratibu utaona mabadiliko kwa kutumia hizi tecnique ndogo ambazo hazigharimu pesa. Ila ya misuri hapo juu ni muhimu zaidi, jaribu utaona mabadiliko mzee.
   
 16. l

  lambie Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh huo mtaa soo.... !! anayechelewa kumaliza hana steam and anayewahi ana papara sana:tonguez::tonguez:
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,194
  Trophy Points: 280
  Mjuba anakwambia "watu kibao wamekusanyika mita kama 67" utafikiri alikuwa na tape measure vile.
   
 18. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  huo mtaa hatari.....................!
  ni zaidi ya uswazi duu..................!
   
 19. k

  kisukari JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  mmh,sijawahi watu wa mtaani wanakusanyika kwa issue hiyo.huo mtaa basini balaa na umejaa umbea
   
 20. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #20
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli, hayo mambo yanatakiwa kuishia kitandani, sasa hadi watoto tena wanasikiliza................ maana huo mkusanyiko nahisi asilimia nyingi tu walikuwa ni watoto
   
Loading...