Anachanganyikiwa na mapenzi asiyoyaona. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anachanganyikiwa na mapenzi asiyoyaona.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by methodman, Mar 18, 2011.

 1. methodman

  methodman Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jamii shaurini,
  Ndugu yangu anampenda msicana mmoja ambao wote ni wadogo 1st year chuo.Cha ajabu yule msichana hamtaki lakini jamaa analazimisha hadi amewahi kutaka kujiua....

  Cha kushangaza zaidi ni kwamba huyu ndugu ameamua kuweka ugomvi na kila msichana hadi mke wangu eti kisa anawachukia kwa kuwa bado hajampata na atashirikiana nao pale tuu atakapompata dada huyu.

  Pia anasema asippompata hataoa kabisa kabisa na ataishi mwenyewe hadi mwisho.
  Kingine huyu dada pamoja na udogo wake,anaugua kisukari na presha jambo ambalo naona ni tatizo kbwa sana ktk kuanza familia.

  Plz advise.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nadhani huyo jamaa yako kayaanza mapenzi vizuri sana (kupenda usipopendwa)
  Akijapewa ukweli na kumsahau huyo binti atakuwa amejifunza jambo jema.
  Natamani baada ya kuachana aje kwangu manake atakuwa na nidhamu/heshima sana kwa new gf wake na mambo yote ya mahusiano

  kisukari na presha hamzuii huyo dada kuwa na mpenzi.
   
 3. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye red huyo jamaa anatisha.
   
 4. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  aende kwa babu kabla hakujafurika
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hebu waambie wasome waache hayo mambo watayakuta tu....................
   
 6. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ana pepo huyoooooo!! akapepewe!!
   
 7. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ni utoto tu, akikua ataacha.
   
 8. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa ana matatizo makubwa sana, anahitaji ushauri wa kitaalamu zaidi...
   
 9. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kupenda usipendwe ni kama kujitia kitanzi namuonea huruma kweli halafu waeza kuta kuna mwanadada anampenda kweli ye hata hamuoni mapenzi acha tu.
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Akikua ataacha, mpe muda. Ila hilo tishio lake la kujiua msilipuuze....
  Utafiti unaonesha kabla ya mtu kujiua huwa anaonesha dalili mbali mbali za kutaka kutekeleza hicho kitendo.
  Anaweza asijiue kwa sababu ya mapenzi lakini akaja kujiua kwa jambo ambalo wala hamkutegemea.
  Inabidi mumkalishe chini na kumpa somo kuwa kujiua siyo suluhisho bali ni ubinafsi, kama kweli anawapenda ndugu zake na wote wanaomzunguka basi asifikirie kujua.
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yani kupenda mara ya kwanza tu anatishia kujiua!Mshkaji anahitaji matibabu ya kisaikolojia zaidi!Mtafutieni mtaalamu mapema...alafu mwambieni kupenda hakulazimishwi!
   
 12. J

  Jef Member

  #12
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwacheni ajiue ili wengine wajifunze Kuwa mapenzi yanataka utulivu na kujipanga Sio kukurupuka!
   
 13. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #13
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  tia makofi kakileta ujinga na mkawekee sumu chumban kwake tuone
   
 14. methodman

  methodman Member

  #14
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  miaka 25??? naona ni ukorofi ndani yake pia
   
 15. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,140
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
   
 16. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wanaotaka kujiua hawatangazi - wanakutwa wameshajinyonga na KUACHA UJUMBE tu au sometimes hamna hata UJUMBE:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
   
Loading...