Anaanzaje upya?

Anaanzaje upya?

Yes… Women do this mara nyingi… Haujawahi kusikia msemo “kama maisha yamekushinda kaolewe “ Maana yake kama maisha yako binafsi yamekushinda kayaunganishe na mtu mwingine then mtapata direction pamoja.

Kama wanawake wanafanya kwanini wanaume zetu wasifanye? Kuna watu ni wajane umri umeenda na wana watoto wanahitaji mtu tu wamalizie maisha… Atafute ajiweke.. na awe bora.

Inaruhusiwa…….!
Huko ni kumdisapoint, Bado umri unaruhusu anaweza kuchange game akafanikiwa before 45 na akapata mke akaoa it is still possible. Men can still do it, of course mwanamke wa miaka 4O tayari ana menopause hawezi tena ila Kwa mwanaume Bado ana few shots to make it in life
 
In a bigger picture, tukisema tatizo ni wewe unaelewa maana yake?
That is not fair judge and honest question!. Hakuna maana nyingine hapo itakayoweza kuwa positive kwa mm. Hii haimaanish ushaur wako ni mbaya. Huyo mtu ni mhanga, hawez kuwa tatizo
 
Huko ni kumdisapoint, Bado umri unaruhusu anaweza kuchange game akafanikiwa before 45 na akapata mke akaoa it is still possible. Men can still do it, of course mwanamke wa miaka 4O tayari ana menopause hawezi tena ila Kwa mwanaume Bado ana few shots to make it in life
Jana nilireply huu uzi saa saba usiku, honestly nilifikiri unazungumzia mwanaume wa 40’s ndio maana comment yangu ya kwanza nimesema 40….

Kwasababu nisingeweza kufikiri kuwa mwanaume wa 30s amechelewa… Hajachelewa anaweza kuanza upya.
 
Hakuna sehemu kakosea everything is blessing in this life .

Muhimu anaweza akafanya life transformation .

Ili aanze ni Afya ya mwili na akili that is huge capital to him .

So mwambie awe positive na amshukuru Mungu umri wake bado mdogo sana anaweza win vizuri na akapata familia , biashara au kazi na n.k

Hamna uchawi is blessing
Simple and true. Hakika hakuna mchawi
 
That is not fair judge and honest question!. Hakuna maana nyingine hapo itakayoweza kuwa positive kwa mm. Hii haimaanish ushaur wako ni mbaya. Huyo mtu ni mhanga, hawez kuwa tatizo
Ukiwa mhanga, na sio underage na ukajua wewe ni mhanga na ukabaki kwenye uhanga…. tatizo ni wewe!

Victimhood inapaswa kuwa na timeline…Hatutaenda mbele tukiendelea kumtreat kama mhanga.
 
Jana nilireply huu uzi saa saba usiku, honestly nilifikiri unazungumzia mwanaume wa 40’s ndio maana comment yangu ya kwanza nimesema 40….

Kwasababu nisingeweza kufikiri kuwa mwanaume wa 30s amechelewa… Hajachelewa anaweza kuanza upya.
Yupo in his late 30s na ana few chances to make it ila akiamua lakn
 
Simple and true. Hakika hakuna mchawi
People become Monday kwa kufatisha society perception

Upo late 30 haujaoq basi is big story , huna mtoto is big story

Hizo huitwa unspoken rule , Sheria ambazo hazijaandikwa .

Ukiwa unazitii hizo unspoken rule basi you count every mistake in ur life as a loser . Kitu ambacho kitakufanya uishi kwa regret (majuto?)

Na kupata depression na frustration

So mwambie don't give a fuc-k , age yake bado inampa nafasi kubwa ya kufanikiwa
 
Watu wengi wanaishi Kwa perspective ya watanionaje and that's the ultimate jailer.
 
Ushamba wangu huu hata sijui namna ya kuattach thread. Lakini ukisearch "ghost phase kwenye maisha ya mwanaume" utaupata
 
Una copy kama link una paste mkuu,ni easy tu

Huu hapa kwa faida ya member wengine.
 
Sio vibaya kuanza upya,,,

Niko fourth floor Naenda fifth’s na bado nataka nijiunge na masomo ,,, sijui nitasinzia darasani? 😀

Mimi nashauri afanye ku explore interests zake kwanza, Kama ni magari, umeme , mobile phones ama biashara, etc.., kisha ndio mkae kuchunguza opportunities zilizopo ,ambazo zinamatch na interests zake. Then ndio mumuweke hapo alipo/position yake kwa sasa (status) na anapotaka kuwa. Kama anakosa mtaji ama skills , ndio aanzie hapo.

Nashauri aanze na baby steps, Kama ni biashara aanze na mtaji kidogo huku akiangalia muitikio wa biashara yake huku akiexpand taratibu. Na Kama ni skills amekosa ,arudi shule akaanze na basics huku aki gain confidence kuenda zaidi/juu. Makosa yake ni ku aim too high na kufanya vitu/courses ambazo sio interests zake. Uki aim too high ukikosea lazima confidence ishuke. Na pia kufanya /kusoma vitu Hauna passion navyo Mara nyingi leads to failure.

Atakuwa depressed sababu wengi above 35 years wako employed kulinganisha na vijana. Sasa ukiona age mates wako wote wana kazi wewe huna na constantly uko kwenye hio environment ni rahisi ku give up. Ndio maana nakubaliana na huyo aliyesema abadili mazingira,,,,
Hiyo baby steps nimeipenda sana

Akubali kwanza yeye ni masikin akishajua yeye ni masikin ndo ajiulize ukitaka kustep au kumove kutoka kwenye umasikin inabidi nifanyeje? Jibu ni moja lazima kufanya kazi

Kwahiyo afanye kazi kwa nguvu na kwa kujituma

Kulia Lia hakutamsaidia chochote kile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom