Ni kweli ana tatizo na jinsi ya kumsaidia inataka uamuzi na moyo wa kumsaidia,sio mchezo.Na huyu hatuwezi kumsaidia online,ni lazima asaidiwe ana kwa anaKuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa tu. Amekuwa na kusoma nikimuona.
Alimaliza primary na secondary vizuri sana, alikuwa kichwa ndoto zake alitaka kuwa rubani. Ila haikwenda kama matarajio. Advance alipitia changamoto, sijui alikumbana na tukio Gani maana ni mpka alirudi home. Alishuka galfa kimasomo kamaliza hakufauru akarudi diploma. Ila alikua kama kapoteza Nuru ya maisha.
Toka hapo Sasa ikawa ni mtu aisye maliza anacho Anza, kaenda kusoma diploma hakumaliza, karudia tena akafanikiwa. Ila Sasa kitu ambacho nakiona kwake ni kama kakata tamaa ya maisha.
Ni mtu asiyeonesha ana shida, akipata kazi anafanya Kwa mwezi mmoja anaacha. Analaumu sana mapito yake, hana marafiki wa kudumu. Hana mahusiano. Alishawahi kunipa stori ya demu mmoja ambaye alimcheat so baada ya hapo hapendi kabisa.
Huwa najiuliza namna ya kumsaidia nashindwa, Kuna kitu moyoni make kakibeba anashindwa kukitua. Anapenda sana kutoa wosia yaani mkikaa naye utadhani unajua Kila kitu kuhusu maisha. Ila yeye Sasa ame stuck.
Kama Kuna mtu, au mwana psychologia au mwenye kuliona hili jambo kipekee atoe ushauri labda utamsaidia. Jamaa umri umekimbia Kuna muda Huwa tukiongea anasema kabisa kama angekuwa mtu mwingine angejiuwa, ila naishia kucheka namwanbia unataka stori ya maisha yako iwe ya kijinga namna hiyo? Ila ukweli jamaa ni kama afya yake ya akili inazidi kuwa mbaya. Anahitaji msaada.
Nilimshauri atoke nyumbani aende akaanze maisha upya, ila naona japokuwa kahama, tabia ni ile ile, kupigia watu simu, kuomba hela, kuongelea mafanikio ya wengine.
Kwa ufupi, usipoweza kujishinda huwezi kushinda.
Inabidi yeye ajishinde Kwanza yaani moyoni mwake abadili lugha isiwe Ile ya majuto, isiwe ya kujiona mnyonge/dhaifu, isiwe ya kujikatia tamaa, isiwe ya kuwaona wengine ni malaika au ndio watu wakamilifu (perfect people) wasio na mawaa.
Aanze kutafakari ufupi wa maisha ya duniani, asome makala mbalimbali za watu maarufu kupanda na kushuka kwao, na changamoto walizozipitia (kupitia Wikipedia), ajifunze kufanya tafakari ya kina (meditation), atafakari ukuu wa Mungu na somo la mifupa mikavu la kitabu cha Ezekieli 37, jinsi ambavyo binadamu anaweza kuhuishwa kutoka katika hali ya kuwa mfu kabisa.
Kama ana taaluma ya ujuzi flani asikae tu, akubali kuanzia upya chini kabisa, aende hata maeneo ya kijijini kabisa asikofahamika, aoneshe ujuzi wake huko kwa kufanya kazi kwa moyo wote na nidhamu ya juu, kwa kipato kidogo, huku akimtanguliza Mungu.
Kwa kufanya hivyo atapona kimwili, kisaikolojia, na kiroho na hatimaye atapata maono zaidi ya nini cha kufanya kuzidi kujistawisha.
Jamaa kwanza ajikubali jinsi alivyo, yaani akubali yeye ni wahivyohivyo(anatatizo/kilema) ila, baada ya hapo aangalie kutokana na jinsi alivyo, anaweza kufanya nini? Ndio afanye.
Sina chakushauri sana, maana me mwerevu sana kwenye maandishi.
Ila ajikubali na ajiamini, asiogope, asikate tamaa kwa kila kitu na asijidharau. Kama yupo pekee yake kimaisha, hategemewi na familia(wazazi n.k), miaka 5 tu katoboa.
Ila angepata na rafiki mzuri na mwaminifu wakumwereza matatizo na shida alizonazo japo sio zote na akamsaidia na kumtunzia siri. Kazi ya rafiki iwe kumsaidia kiushauri, kimawazo na kumsapoti kwenye mambo yake.
Anaishi na jamii ila jamii imemtenga, japo sio sana. Kwa hiyo aangalie kwenye maisha yake wapi kuna nafasi ya kutoka kimaisha. Hata wewe de Gunner unaweza kuwa rafiki yake. Afu mwambie jamaa kuna jukwaa linaitwa jamiiforum, awe anashindashinda huko atapata madini ya kutosha tu!!
Kama angekuwa naona "Ok" asingekuwa anaomgea kwa namna ya kuasa watu wengine na kujilaumu katika mapito yake. Kun watu wengi sana hpo juu wameng'amua kuwa mchizi yuko mwka 2026 lakini mawazo na hisia zipo miaka kadhaa nyuma kipindi anafnya au mistake zinafanyika zilizopelekea yeye kuwa hapo.MTU ambaye atamsaidia kutoka hapo alipo ni MTU anayemuona katika kioo
Means wakati unamuona yeye amestuck yeye anaona everything is okay.
Kikubwa mpe motivation ila Psychology ya kukufanya u-back to the sense Huwa haipo . Ni wewe mwenyewe kuamua kukubali ukweli things are no longer the same
I have to figure out my stuffs.
Wakati unaona hana familia , anakaa kwako n.k
Ila bado yeye anaona is okay .
Kwakuwa kupata familia hata Masikini kapuku anapata
Kuhama nyumbani Kuna mpaka vyumba vya elfu 10 unaweza uka rent
So mambo kama HAYO ni issue ya akili ya muhusika vile anatazama mambo ila akiwa hiyo hali haifai atatfuta njia ya ku-figure out .
Kuna alama ya kuuliza hapo mbele, nimeuliza hapo au hiyo alama hujaelewa kazi yakeEmb karibu kufafanua, mkwamo huo na anajinasuaje hapo?
Facts kabisa mkuu. 💯MTU ambaye atamsaidia kutoka hapo alipo ni MTU anayemuona katika kioo
Means wakati unamuona yeye amestuck yeye anaona everything is okay.
Kikubwa mpe motivation ila Psychology ya kukufanya u-back to the sense Huwa haipo . Ni wewe mwenyewe kuamua kukubali ukweli things are no longer the same
I have to figure out my stuffs.
Wakati unaona hana familia , anakaa kwako n.k
Ila bado yeye anaona is okay .
Kwakuwa kupata familia hata Masikini kapuku anapata
Kuhama nyumbani Kuna mpaka vyumba vya elfu 10 unaweza uka rent
So mambo kama HAYO ni issue ya akili ya muhusika vile anatazama mambo ila akiwa hiyo hali haifai atatfuta njia ya ku-figure out .
Yes… Women do this mara nyingi… Haujawahi kusikia msemo “kama maisha yamekushinda kaolewe “ Maana yake kama maisha yako binafsi yamekushinda kayaunganishe na mtu mwingine then mtapata direction pamoja.Daah mishangazi tena? 🤣 Ila umesema kweli, afya ya akili ndo chanzo Cha hayo yote, kureverse majeraha Huwa inakuwa ngumu sana, no matter watu wanaookota makopo huanzia phase hizi pia.
I appreciate this from you! 😊Topics za namna hii zinakufaa, you always make sense in every word.💪
Tatizo ni nani?Tatizo sio yeye! Be logical
Louder please!Kuna tofauti ya mtu aliyekumbwa na changamoto na mtu aliyeamua kukaa kwenye changamoto.
Huyo yupo kundi la pili.
Huyo mtu ni mhangq wa tatizo, suluhu linahitaji mchakato fulan ambqo unatakiwa ukakate mzizi mkuu wa tatizo. Kushindwa kubqdilika kwa 'attitude' ya mhanga hakuwez kueleweka kuwa tatizo ndan yake. Jamaa atakuwa tayar ana depression au psychosis. Anahitaji vyote viwili medication na social support. Hiv vitu sio vitu vilivyo ndan ya uwezo wakeTatizo ni nani?
Tell me the logic behind this.
Psychosis?:umeenda mbali mkuu,,,,Huyo mtu ni mhangq wa tatizo, suluhu linahitaji mchakato fulan ambqo unatakiwa ukakate mzizi mkuu wa tatizo. Kushindwa kubqdilika kwa 'attitude' ya mhanga hakuwez kueleweka kuwa tatizo ndan yake. Jamaa atakuwa tayar ana depression au psychosis. Anahitaji vyote viwili medication na social support. Hiv vitu sio vitu vilivyo ndan ya uwezo wake
In a bigger picture, tukisema tatizo ni wewe unaelewa maana yake?Huyo mtu ni mhangq wa tatizo, suluhu linahitaji mchakato fulan ambqo unatakiwa ukakate mzizi mkuu wa tatizo. Kushindwa kubqdilika kwa 'attitude' ya mhanga hakuwez kueleweka kuwa tatizo ndan yake. Jamaa atakuwa tayar ana depression au psychosis. Anahitaji vyote viwili medication na social support. Hiv vitu sio vitu vilivyo ndan ya uwezo wake