Anaandika Wakili msomi kuhusu Mwanasheria Tundu Lissu

UOTE="OKW BOBAN SUNZU, post: 22446553, member: 52569"]Lissu atamfanya Magu anganganie madarakani kwa kuogopa kufungwa[/QUOTE]
Si alisema haogopi kufungwa
 
Hata kama TL akifikishwa Mahakamani, 'application' ya 'Harbeas Corpus' iendelee ili Jaji aweze kuwakemea Polisi kufuata Taratibu na Sheria za Nchi..
 
View attachment 549114
Ujumbe kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala kuhusu Raisi wa TLS Mhe Tundu Lissu ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa muda wa siku tano bila kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya Raisi wa Tanzania John Pombe Magufuli.
======
Fellow Lawyers; Application ya Harbeas Corpus ya kumuita IGP aeleze why Police wanamshikilia Tundu Lissu imepangwa kesho before Munisi, Judge.

Meanwhiles; we fully expect atapelekwa Kisutu RM's Court leo. We will keep U updated so that U come and help represent Ur President.
LISU NI MHAINI AWEKWE KIZUIZINI

Na Thadei Ole Mushi.

Mwalimu wangu alishawahi kunifundisha kwenye history kuwa siku zote unapopanga kufanya MAPINDUZI hakikisha unakubaliana na matokeo haya mawili

1.Ukifanikiwa katika mapinduzi yako watakuita SHUJAA ,MWANAMAPINDUZI, NA KILA JINA LA KISHUJAA.

[HASHTAG]#ILA[/HASHTAG]

2. Ukishindwa kwenye mapinduzi hayo watakuita jina moja tu "MHAINI".

Kinachomtokea TUNDU kwa sasa ni hili jibu la pili huyu anatakiwa awekwe KIZUIZINI kama watanzania wengine waliokwisha kujaribu kusaliti nchi yao na kuwekwa kizuizini.

[HASHTAG]#Anachotakiwa[/HASHTAG] kukithibitisha Lisu ni Udikteta wa Raisi magufuli. Kama kuteua msukuma kuwa kiongozi mahali ndio Udikteta basi atuthibitishie.

[HASHTAG]#Najua[/HASHTAG] wote wanaochaguliwa au Kuteuliwa na Mh Raisi wanapendekezwa na mamlaka za Uteuzi baada ya kufanyiwa vetting. Je Lisu yupo kwenye mamlaka za uteuzi ili aseme mapendekezo ya mamlaka hizo yamepuuzwa na Raisi?

#Je Mh Raisi ndio anayetoa vibali vya wakatoliki kufanya kazi nchini na si Uhamiaji? Kama ni uhamiaji je wakatoliki hawaruhusiwi kufanya kazi hapa nchini? Je hao wamisionari wa kilutheri walioambiwa wakapange foleni kule Uhamiaji walitaka nani awape kibali cha kufanya kazi nchini? Je uhamiaji waliwanyima kibali kwa kuwa ni walutheri?

[HASHTAG]#Nimemsikiliza[/HASHTAG] Fatma Karume wakili wa Lisu akitoa tafsiri ya kosa la Uchochezi kuwa ni kumchochea mtu kufanya uhalifu na yeye haoni kama lisu alimchochea mtu.

[HASHTAG]#Huyu[/HASHTAG] naye akili hazipo sawa haoni aliyechochewa kabisa ila anasahau kuwa Lisu anawaaminisha watanzania kuwa Raisi Magufuli anapendelea kabila lake pamoja na Dini yake. Haoni kuwa anawachochea makabila mengine na dini nyingine?

[HASHTAG]#Mataifa[/HASHTAG] mengi yanaingia matatizoni kwa kauli za kichochezi kama hizi. Je wasukuma na wakatoliki wanaofanya kazi maeneo mengine wabaguliwe? Lisu anataka haya makabila na dini nyingine zifanye nini? Nyumbu hawaoni uchochezi huu wanasahau vita haina macho...

[HASHTAG]#Nitashangaa[/HASHTAG] kama upande wa Jamhuri watamuachia huru kwa kauli hizi. Kama mkimuachia basi mtakuwa kawashinda kuwa kweli analiyoyasema yanafanywa kweli na Raisi.

Ole mushi
 
Kesi ya uchochezi si mchezo si kwa aliye mahabusu hapana kazi ni kwa wewe kutafuta vielelezo visivyo na shaka yoyote ili mtuhumiwa apatilizwe amemchochea nani,na amesabisha jinai gani kwenye jamii hapo ndio patamu,siasa tupa kule mahakamani ni facts tu,ndio maana polisi wanahaha hata angalau wapate mkojo wa TL wauchakachue teh,teh,teh,teh...
 
Hapo wanajammvi kuna tofauti kubwa baina ya msomi tundu lissu na mwakiembe,tundu in practicing advocate mwakiembe ni theoretical lawyer ,mwakiembe hawezi kabisa kumkaribia lissu.
Mwakyembe ameshakuwa mwanasiasa Tu.
 
Hapo wanajammvi kuna tofauti kubwa baina ya msomi tundu lissu na mwakiembe,tundu in practicing advocate mwakiembe ni theoretical lawyer ,mwakiembe hawezi kabisa kumkaribia lissu.
Mwakyembe ameshakuwa mwanasiasa Tu.
 
President Lissu an indomitable learned hero! They`ve heared you bro Peter!
 
A writ of habeas corpus is used to bring a prisoner or other detainee (e.g. institutionalized mental patient) before the court to determine if the person's imprisonment or detention is lawful. A habeas petition proceeds as a civil action against the State agent (usually a warden) who holds the defendant in custody.
Mkuu andika kiswahili
 
Back
Top Bottom