Anaandika Wakili msomi kuhusu Mwanasheria Tundu Lissu

View attachment 549114
Ujumbe kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala kuhusu Raisi wa TLS Mhe Tundu Lissu ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa muda wa siku tano bila kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya Raisi wa Tanzania John Pombe Magufuli.
======
Fellow Lawyers; Application ya Harbeas Corpus ya kumuita IGP aeleze why Police wanamshikilia Tundu Lissu imepangwa kesho before Munisi, Judge.

Meanwhiles; we fully expect atapelekwa Kisutu RM's Court leo. We will keep U updated so that U come and help represent Ur President.
Sorry,
Entire purpose is now oveetaken by events. Try something else next time.
 
Unaweza ukasoma na bado usiwe msomi.
Msomi ni yule mtu aliyesoma na akatumia vyema kile alichosoma.

Tundu Lissu ni Wakili msomi, kwa sababu anautumia vyema usomi wake.

Huwezi ukamfananisha Tundu Lisu na Mwakyembe , Hapa kuna Msomi na aliyesoma, si kila aliyesoma ni Msomi.

Mmekaririshwa ujinga mkaumeza na kuamini.Wanasheria wote duniani walifundishwa ili wawatumike watawala.Muulizeni malaika Lisu asili ya sheria na sababu za kuanzishwa kama mfumo rasmi katika serikali lilikuwa nini.

Akikubali kuwaambia ukweli atawathibitishia kuwa mwanasheria yeyote anapaswa kuwatumika watawala.Kwenda kinyume na historia hiyo ni kupingana na kusudi la awali la sheria.Siipendi historia hii lakini ndiyo ukweli.Tujiulize nani anaitunga sheria? kwa lengo gani anaitunga,nani analipia gharama za kuifanya iishi na itumike? anatarajia kupata nini kwa fedha anazotoa?

Nani kati yetu akiwa timamu wa akili ataweka nguvu na maarifa yake mahali anapojua patamuuiza au kumpa hasara.Kuhusu mjadala wa Mwakyembe na Lisu kipimo kizuri ni walimu wao na matokeo ya mitihani yao.Kama kipimo ni matumizi ya walichosoomea mahakani basi wote wawili tuwafananishe na Wakili msomi mwenzao mzee Masumbuko Lamwai na mbwe mbwe zake mahakamani na matokeo ya kesi zilizomhusu.

Sikumbuki Lamwai aliposhtakiwa Mahakamani ila ninakumbuka utitiri wa kesi alizosimamia kama wakili mtetezi.Huwa najihoji utimamu wa wakili ni kusimamia sheria au kuwa mtuhumiwa muhimu katika kila tuhuma?
 
Vipi, imefutwa?
Mkemia wa Sirikali bado anahangaika na vipimo vya mkojo, anapata majibu ambayo yanaonesha mamlaka za juu iliyomuagiza imelaaniwa hadi ameshindwa kuyatoa ili watanzania tujue jinsi hilo jaribio uchwara lilivyofeli.
 
Nenda kaongee naye.
 
Mmekaririshwa ujinga mkaumeza na kuamini.Wanasheria wote duniani walifundishwa ili wawatumike watawala.Muulizeni malaika Lisu asili ya sheria na sababu za kuanzishwa kama mfumo rasmi katika serikali lilikuwa nini.

Akikubali kuwaambia ukweli atawathibitishia kuwa mwanasheria yeyote anapaswa kuwatumika watawala.Kwenda kinyume na historia hiyo ni kupingana na kusudi la awali la sheria.Siipendi historia hii lakini ndiyo ukweli.Tujiulize nani anaitunga sheria? kwa lengo gani anaitunga,nani analipia gharama za kuifanya iishi na itumike? anatarajia kupata nini kwa fedha anazotoa?

Nani kati yetu akiwa timamu wa akili ataweka nguvu na maarifa yake mahali anapojua patamuuiza au kumpa hasara.Kuhusu mjadala wa Mwakyembe na Lisu kipimo kizuri ni walimu wao na matokeo ya mitihani yao.Kama kipimo ni matumizi ya walichosoomea mahakani basi wote wawili tuwafananishe na Wakili msomi mwenzao mzee Masumbuko Lamwai na mbwe mbwe zake mahakamani na matokeo ya kesi zilizomhusu.

Sikumbuki Lamwai aliposhtakiwa Mahakamani ila ninakumbuka utitiri wa kesi alizosimamia kama wakili mtetezi.Huwa najihoji utimamu wa wakili ni kusimamia sheria au kuwa mtuhumiwa muhimu katika kila tuhuma?

Muulizeni malaika Lisu asili ya sheria na sababu za kuanzishwa kama mfumo rasmi katika serikali lilikuwa nini.

Akikubali kuwaambia ukweli atawathibitishia kuwa mwanasheria yeyote anapaswa kuwatumika watawala.Kwenda kinyume na historia hiyo ni kupingana na kusudi la awali la sheria.Siipendi historia hii lakini ndiyo ukweli.Tujiulize nani anaitunga sheria? kwa lengo gani anaitunga,nani analipia gharama za kuifanya iishi na itumike? anatarajia kupata nini kwa fedha anazotoa?

Kweli Huyu ni malaika aliyekuja Duniani kutukomboa kutoka kwenye makucha ya wale wasomi wa PHD ya Mabibo ya korosho wasio na chembe ya Hekima!
Ametumwa vile vile kubadilisha hiyo sheria ya kikoloni ya kutetea watawala!! Hao waliobaki kutetea watawala ni misukule na mabundi wa kukariri tu! siyo wanasheria wa kizazi cha sasa!!
 
Hebu naomba mwanasheria yoyote mpenda kuelimisha anieleze maana ya 'harbeas corpus'. Ni nini hasa hii?
a writ requiring a person under arrest to be brought before a judge or into court, especially to secure the person's release unless lawful grounds are shown for their detention.
 
Lissu atamfanya Magu anganganie madarakani kwa kuogopa kufungwa
Aa wapi! Hakuna MTU mwepesi kama huyo. Wenzake wanaofanya hivyo wanajijenga kwenye vyama vyao kwanza yeye anakosa hata support ya kweli kwenye chama zaidi ya hao vuvuzela ambao pepo za kusi zikija wanabadili mwelekeo bila hata kujijua
 
Back
Top Bottom