BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,106
hahaha Mwakyembe.....
Yaani kuna kipindi unaweza kudhani mnafiki mwakyembe alisoma upishi na sio sheria! Kumlinganisha mnafiki mwakyembe na Lissu ni sawa na kulinganisha ardhi na mbingu!
Jamani mwacheni basi apumzike kutoka msiba mzito aliopata, baada ya hapo ndio mlale naye mbele!!! Pls