Anaandika Makamu wa Rais wa Yanga

Anaandika Makamu wa Rais wa Yanga

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,577
Reaction score
46,556
“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram

…………..
 
“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji.

…………..
Huyu ni zuzu tu!naona hata uwezo wake wakufikiri ni mdogo sana!
 
“Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram

…………..
Safi sana
 
Kwa hiyo yeye alidhani yanga watatuburuza kwa upuuzi wao muda wote?
 
Mpuuzi mmoja tuu anaizamisha Yanga bila kujua.

Ni mtu alietoa msimamo mapema kuwa hawatacheza mchezo mwingine wa Ligi.
MTU ALIYETOA MSIMAMO KUWA HAWATACHEZA BAADA YA MAAMUZI YA KISHENZI ANAONEKANA MPUUZI, LAKINI WALIOANDIKA BARUA KUKATAA KUCHEZA MECHI KABLA HATA YA MAAMZI YA KISHENZI WAO NDO WANA AKILI?

you are a great moron
 
Huyu ni zuzu tu!naona hata uwezo wake wakufikiri ni mdogo sana!
Arafat Haji amekuwa country treasurer wa exim bank nchini Uganda, amekuwa director general Zanzibar insurance sasa ni director general Bank of Zanzibar.
Anatokea dogo mmoja JF baada ya kushiba mihogo ya jero na kushushia maji ya kandoro anaweka bundle la mia tano anaanza kuropoka Arafat ana uwezo mdogo wa kufikiri ni zuzu.

Sababu ni nini? Eti huyu dogo anaipenda sana Simba hapo kavaa kijezi chake feki cha mbet kinatoa jasho kali anasubiri mechi vibanda umiza kwa mkapa uwa anapaona tu kwenye TV.
Hii nchi ngumu sana.
 
MTU ALIYETOA MSIMAMO KUWA HAWATACHEZA BAADA YA MAAMUZI YA KISHENZI ANAONEKANA MPUUZI, LAKINI WALIOANDIKA BARUA KUKATAA KUCHEZA MECHI KABLA HATA YA MAAMZI YA KISHENZI WAO NDO WANA AKILI?

you are a great moron
Ajabu sana. Hawa jamaa wanadekezwa sana. Eti sasa hivi Yanga ndio anaonekana hana akili. Wanshondwa hata kujifunza kwa kilichotokea Misri huko kwa Al Ahly
 
Back
Top Bottom