Ana virusi vya UKIMWI, je ataweza kuolewa?

Ana virusi vya UKIMWI, je ataweza kuolewa?

ukimwi sio ugonjwa asiogope propaganda za wazungu
 
taj vigezo km vp nione km atafuz am vp

awe white(natural) ,asiwe mfupi wala mrefu sana,asiwe mnene wala mwembamba sana,asiwe mpenda pesa,asiwe mapepe,awe anajiheshim,awe mzuri haswa,..vigezo vyangu ni hivyo tu wala sina vingi so nambie kama yumopo
 
awe white(natural) ,asiwe mfupi wala mrefu sana,asiwe mnene wala mwembamba sana,asiwe mpenda pesa,asiwe mapepe,awe anajiheshim,awe mzuri haswa,..vigezo vyangu ni hivyo tu wala sina vingi so nambie kama yumopo

We jamaa unavigezo vigumu duuu.....
 
Habari zenu wana jukwaa na wakubwa shikamoo kwenu,

Ni mtu wangu wa karibu sana ni binti mwenye miaka 26 tatizo lake kuu alipima HIV mwaka 2012 akakuta positive lakini kajitunza hadi leo hii CD4 zipo juu hatumii dawa kabisa zaidi ya seprine tu.

Sasa hofu yake je ataweza kuolewa kweli ktk hii hali na je mume atampata vipi? Kwani atamjuaje aliye positive coz aliye negative si rahisi kumuoa kiukweli.

Mawazo yenu wakuu muhimu sana
aliyempa ukimwi ndiye amuoe.
 
Nahisi huyo mdada ameshaanza kujinyanyapaa mwenyew, na huo ndio ugonjwa wa kwanz utakaomtafun kabla ya huo mwingine. Atulie na ajikubali ndoa ni mapenzi ya Mungu
 
Ndio ataweza. Cha msingi matumizi sahihi ya Condom, lishe bora na matumizi ya ARV Wakati ukifika
 
aliyempa ukimwi ndiye amuoe.

Mkuu sio kila kitu lazima kuchangia, watu wapo kwenye mambo ya msingi, wewe unaleta utoto tena!! Shame on you. Wewe gono umewaambukiza waangapi? Wote wanajua kuwa wewe ndio uliwaambukiza??
 
seprine n nn

Like all antibiotics, Septrin only works against some types of bacteria. This means that it is only suitable for treating some types of infections. Septrin can be used to treat or prevent: lung infections (pneumonia or PCP) caused by a bacteria called Pneumocystis jiroveci (previously known as Pneumocystis carinii )
 
Vipi kuhusu mwanaume negative hatafuti? Ishu sio kuolewa....mwambie aache kujinyanyapaa mwenyewe
 
Atapata, amtegemee Mungu maana mume mwema huletwa na Mungu. Na Mungu yu Mwema kwa watu wote na anatupenda wote. Kuna dating site HIV Dating, HIV Personal Ads, HIV Personals anaweza kutembelea akaona watu wakiwa wanadate kama kawaida itampa moyo. asijisikie mnyonge kwenye hili, inawezekana being HIV positive inamfanya awe karibu na Mungu kuliko ambavyo walio HIV negative kwa kuomba na kusali. Na hicho ndicho kikubwa zaidi coz baada ya maisha haya ya kuwa +ve or -ve wote tutarudi kwa aliyetuumba tukajibu huko.
 
Mkuu sio kila kitu lazima kuchangia, watu wapo kwenye mambo ya msingi, wewe unaleta utoto tena!! Shame on you. Wewe gono umewaambukiza waangapi? Wote wanajua kuwa wewe ndio uliwaambukiza??

Kwahiyo wewe unaona ukubwa ndio kuambukizana ngoma?
 
Tunaokolewa kwa Neema tu, nenda kapime wawezakuta huna tena hio kitu! Hua inatokea
 
Ajitahidi kula mboga mboga na matunda,mazoezi,atapona tu,hilo tatizo dogo sana
 
Back
Top Bottom