ABLE04
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 993
- 2,434
Wengi walianzia huko hata kama sasa wanakula Mil 5!!Mkuu kama wew unalipwa Mil 5 hongeraaa.. Sio wote wana uwezo wa kufanya biasharaa na sio wote wanalipwa mamilion mnavyokosoa laki 8 akati asilimia 90 ya waajiriwa bongo mshahara wao haufiki hapo ukute hata wazazi wenu hawajawahi lipwa hiyo laki 8 ni suala la ajabu sana.. Wew changia mada aweke akiba sh ngapi bhasi kujikuta kwamba 800k sio hela ni Ujuhaaa.