Ana mshahara wa Tshs 800,000 aweke akiba shilingi ngapi?

Ana mshahara wa Tshs 800,000 aweke akiba shilingi ngapi?

Kabisa ni

ujinga kuamini 800k ni pesa ya maana! Umasikini ni shida sana
Mkuu kama wew unalipwa Mil 5 hongeraaa.. Sio wote wana uwezo wa kufanya biasharaa na sio wote wanalipwa mamilion mnavyokosoa laki 8 akati asilimia 90 ya waajiriwa bongo mshahara wao haufiki hapo ukute hata wazazi wenu hawajawahi lipwa hiyo laki 8 ni suala la ajabu sana.. Wew changia mada aweke akiba sh ngapi bhasi kujikuta kwamba 800k sio hela ni Ujuhaaa.
 
Yaani utumie hela inayobaki ndio uweke akiba kweli ndo maana vijana tunabaki na uchumi uleule miaka nenda rudi, kuweka akiba ni commitment aisee, ukipata hiyo hela unatoa kwanza 250k unaweka inayobaki ndo unapmbana nayo mpaka itoshe otherwise utakuwa unapiga mark time tu duniani huku
 
Kabisa ni

ujinga kuamini 800k ni pesa ya maana! Umasikini ni shida sana

Nani kasema 800k ni hela ya maana? Mbona unakua kaa chizi hivi? Kuna sehemu imeandikwa au Kuna kiashiria chochote kwmb 800k ni hela ya maana ktk maandiko yangu? Una shida gani ndugu yangu? Km una stress zako kwanini uchangie mjadala anti-clockwise?
 
Mkuu kama wew unalipwa Mil 5 hongeraaa.. Sio wote wana uwezo wa kufanya biasharaa na sio wote wanalipwa mamilion mnavyokosoa laki 8 akati asilimia 90 ya waajiriwa bongo mshahara wao haufiki hapo ukute hata wazazi wenu hawajawahi lipwa hiyo laki 8 ni suala la ajabu sana.. Wew changia mada aweke akiba sh ngapi bhasi kujikuta kwamba 800k sio hela ni Ujuhaaa.

Yani watu ni wa ajabu sana. Na nna kuhakikishia kwamba huyu Hana hela yote ya maana. Mwenye hela ya maana huwezi kukuta anadharau hela ndogo. Never ever
 
1.Matumizi yako ya kila siku ni asilimia ngapi ya huo mshahara?
2. Wahitaji huwa unawasaidia asilimia ngapi ya hiyo hela?
3. Uwekezaji unaweka asilimia ngapi ?
4.Unatoa Zaka?
5. AKIBA ndiyo inafuata hapo sasa


Mwisho wa siku wewe ndiyo unayeamua AKIBA yako ni malengo ya nini. Hakuna kanuni!
2 na 4
Hayo ni mas-ala ya imani yake. Hayahusiki hapo.
 
Wataalamu wa masuala ya fedha wanashauri utumie njia inaitwa 50,30,20
Screenshot_20230509_122229.jpg
 
Habari Kuna mdau ameniomba ushauri anasema anapokea mshahara wa 800,000/= kwa mwezi hajaoa Hana mtoto je afanye serving ya sh ngapi kwa kila mwezi. Ali aje awekeze mradi wote wenye tija huko mbeleni.

Ushauri wenu kwa huyu jamaa.
😂😂😂Mm sijaolewa
Ushauri wangu mkubwa anizingatie😅💔
Kwamba tuanze maisha mdg mdg tutapata tu chakuwekeza
 
Back
Top Bottom