Ana milioni 8 showroom atapata gari gani?

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
WAKUU HABARI ZENU KUNA MDOGO WANGU KAZICHANGA CHANGA ANATAKA KUCHUKUA NDINGA SALOON

SASA ALIKUWA ANAULIZA ACHUKUE NDINGA GANI NZURI YENYE comfortability NDANI YAKE

YA KUANZIA WALAU MWAKA 2001 KUJA JUU

USHAURI WENU WADAU

NA JE KUNA GARI ZURI AMBALO LIKO KICHWANI MWAKO UNGEMSHAURI AONGEZE KIASI KIDOGO WAWEZA TAJA HAPA WAKUU
 
IST, Demio Mazda, Raum, Vitz zote hizi unapata
 
IST, Demio Mazda, Raum, Vitz zote hizi unapata
Kama ni kutoka showroom za tz, naona kama utakuwa unamdanganya, maana navyofahamu magari yote hayo yako kwenye 10m/-. ILA akiagiza mwenyewe Japan kwa hiyo pesa anaweza kupata moja ya hayo magari na pia gharama za clearance na registration zikiwemo.
 
Unapata bwana .zipo nichek kama uko serious nikupe toyota paso.mira.plats Na nyingine nyingi
 
WAKUU HABARI ZENU KUNA MDOGO WANGU KAZICHANGA CHANGA ANATAKA KUCHUKUA NDINGA SALOON

SASA ALIKUWA ANAULIZA ACHUKUE NDINGA GANI NZURI YENYE comfortability NDANI YAKE

YA KUANZIA WALAU MWAKA 2001 KUJA JUU

USHAURI WENU WADAU

NA JE KUNA GARI ZURI AMBALO LIKO KICHWANI MWAKO UNGEMSHAURI AONGEZE KIASI KIDOGO WAWEZA TAJA HAPA WAKUU
agiza gari kutoka Japan mkubwa hiyo hela inatosha kabisa. cheki OPA hapa ( Used OPA TOYOTA for Sale | BF115215 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD )

44634946.jpg

(CIF $ 2017 ~ Tsh 3,328,050/= mpaka Dare salaam) ushuru andaa nyingine kama hiyo...
 
Hivi hawa jamaa wa BeForward.jp wanaaminika? nimeona gari moja huko naona itamfaa sana my waifu wangu/
hao ndio wa kuaminika zaidi,,wana ofisi zao pia Daressalaam address hii hapa

BE FORWARD TANZANIA
Palm Residency, Ground Floor,
45-46 Chimara Road,
Opposite Ocean Road Hospital,
Dar es Salaam, Tanzania

Office Hours: 8:00AM - 5:00PM
Closed: Saturday, Sunday & Public Holiday

Tel: 255 778 600 700
Email: tanzania@beforward.jp

40980728.jpg
 
Kama ni kutoka showroom za tz, naona kama utakuwa unamdanganya, maana navyofahamu magari yote hayo yako kwenye 10m/-. ILA akiagiza mwenyewe Japan kwa hiyo pesa anaweza kupata moja ya hayo magari na pia gharama za clearance na registration zikiwemo.

Hapana Mkuu,
Hapa hapa Bongo zinapatikana mbona!!
 
kama ni kutoka showroom za tz, naona kama utakuwa unamdanganya, maana navyofahamu magari yote hayo yako kwenye 10m/-. Ila akiagiza mwenyewe japan kwa hiyo pesa anaweza kupata moja ya hayo magari na pia gharama za clearance na registration zikiwemo.

sidhan kama atapata
 
Back
Top Bottom