Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,627
Na kujitunza pia miss neddy bila hivyo udongo mzuri tu pekee hautoshi. Kitufe cha like huwa hukioni ni aje? nilikuwa naangalia uwiano wako wa zile ulizopokea na zile ulizotoa
kaka vp mzma
ameolewa ana watoto wanne
Niko poa Mkuu namshukuru Mungu, vipi nawe Mkuu? Salimia familia yote.
Na kujitunza pia miss neddy bila hivyo udongo mzuri tu pekee hautoshi. Kitufe cha like huwa hukioni ni aje? nilikuwa naangalia uwiano wako wa zile ulizopokea na zile ulizotoa
charminglady ndio jina lake.
Hahahaa.... Haya sawa mkuu, habari ya uzima wako?? Hatualikani???
anacheza movie gani mkuu
ahsante......ni kweli ana mvuto....mwigizaji wa nollywood nigeria