Ana miaka 43

Ana miaka 43

Ila hizi baby-face sometimes zinakosesha mambo matamu; one day kuna mtu wa supermarket alinikata zaidi ya miaka 15 hivihivi naona, akagoma kuniuzia "Cider". Kang'ang'ana huyo bila ID kitu haiuzwi!!!
 
Hahaha kweli aisee unaenda supermarket kwa wenzetu unataka kununua pombe au wine unaambiwa bila id hawauzi
 
Ndiyo matatizo ya mwili kutomatch age Mkuu Viol; kila mtu anayekuuliza umri ukimtajia anaanza kusema "Be serious" teh!

Huyo hapo ana watoto wanne,ila mazoezi nayo yanasaidia
 
Nimeshamwona kweny movie za kinigeria ni kweli anabezi hatari
 
Ila viol mi naona omotola jalade ndo mzuri kuliko huyo tena na yeye kaenda age

omotola mzuri ila ni mdogo kwa huyu,omotola kazidiwa miaka 7 na kimwonekano hawafanani,huyu ataonekana mdogo tu.
 
Viol ndio nani huyo....????
 
Last edited by a moderator:
kheri yake,mwenye naye ndio anajua kazeeka au laaa..
heeee!
 
Back
Top Bottom