Ana miaka 43

Ana miaka 43

Mmeangalia nn mwili???mbona weng sana wako ivo but kwa nimwonavyo mm apo amekomaaa sanaaa tuuu sura yake inaonyesha kwenye paji la uso hapo
 
Kate-Henshaw..jpg
images
images

Usidanganyike na taswira moja ya picha, hii ya mwisho ambayo ina nywele ndefu inaonyesha alivyokomaa usoni.
 
Aiseeeee afadhali huyo jaman loo kuna bwana mkubwa anaapproach 40 lakin anadai ni 28yrs duuu ni shidaaaaaa
 
Mtoto anaonekana bado mbichi sana.

Ana mwili mzuri sana
 
Back
Top Bottom