Ana miaka 43

Ana miaka 43

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Kate-Henshaw..jpg
images
images
 
mbona alitaka kufanana na yule miss mtemvu aliyejivua umiss kwa
kashfa za kudanganya umri
huyo ana miaka 43 miaka halisi ya sitti wanasema kuanzia 26-29,sasa huoni huyu bado mrembo
 
huyo ana miaka 43 miaka halisi ya sitti wanasema kuanzia 26-29,sasa huoni huyu bado mrembo

mbona sijaona urembo wake au wewe unaangalia sura yule miss alikuwa na sura ya kizee sana
 
mbona sijaona urembo wake au wewe unaangalia sura yule miss alikuwa na sura ya kizee sana

huyo hapo ana miaka 43,sitti anacheza 26-29 ndo tofauti je sitti akija kufikisha miaka 43 ataonekanaje?
 
mkuu ni mkeo unamsifia sana nini ?

hahah...ana pima upepo sio?? wacha umkumbe ndio atatia akili.

Age is just the number....hata angekua na 19 inatategemeana na muhitaji.
 
Back
Top Bottom