sikia kaka mechi maandalizi kaka,uwe unajaribu kumchezea sana jitahidi sana uwe unakichezea kimboga jela chake kwa muda mrefu kidogo na ikibidi kimumunye kabisa kama unafanya hizo mambo,zitafute nakuzichimbua sehemu zake zenye chaji zaidi na udili nazo yaweza saidia halafu uwe unamfanyia kucha kuchele minus english kwa urefu.jitahidi kumchezea peke yake kumfanye aangushe angalau goli mbili.hakikisha anaridhika pengine goli moja tu litamnyong'onyeza.mia
Nilimshauri akakubali lkn anataka aende gym nnayoenda mm lkn kibaya hapo iko mbali sana na anapofanyia kazi
mkuu lipo mwishoni kabisa mwa majukwaa. lipo karibu na jukwaa la dini. kama huna access huwezi kuliona wala kuingia. mtumie pm Invisible umuombe akupe access ya hilo jukwaa kama unataka. miamkuu jukwaala kikubwa ni lipi?.
Tatizo ni kwamba mnazini, sasa lile pepo la zinaa limemkamata huyu bi dada na linamwendesha kweli....usipoangalia kuna uwezekano ipo siku naniihii yake itaimemena kabisa nanihiii yako.
Ushauri:
njooni kwa YESU awafanye viumbe wapya, ya kale yote yatapita NAYE atayafanya kuwa mapya
Tatizo sio kwamba cwezi namfikisha na anaridhika kwa cku ya tukio ila akija cku nyingne ni kama hajaguswa mwezi wakati ratiba ni mara mbili au tatu kwa wiki
ni wewe au???acha kujishaua kijana mwenzako mjanja anaonja asijekuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Swali wewe watu8 hujawahi kuonja?
unamuogopa kwa sababu anataka mara kwa mara sio?
Kwahiyo unataka umuoe aje kwako kulala, kakuambia kwao hamna kitanda!!!
Cha kufanya: Mpe mara zote anazotaka kama nafasi na mazingira yanaruhusu.....la sivo wajanja watakusaidia ubaki unalalamika tu ooh wanawake sio waaminifu!!!!!
Tatizo ni kwamba mnazini, sasa lile pepo la zinaa limemkamata huyu bi dada na linamwendesha kweli....usipoangalia kuna uwezekano ipo siku naniihii yake itaimemena kabisa nanihiii yako.
Ushauri:
njooni kwa YESU awafanye viumbe wapya, ya kale yote yatapita NAYE atayafanya kuwa mapya
Ni mimi huyu huyu wala si mwingine....nimeonja sana na ndio maana najua lipi baya na lipi zuri....btw nimekumisije mzima weye?
Mmmh! waswahili bwana