Mpaka sasa namtimizia sana tu ila bado anaona hatosheki anataman iwe kila siku, kinachoniogopesha anataman nimwoe haraka ili afaid kila cku ukiangalia kurud kazini saa 3 ucku kuamka saa kumi na nusu asubuh si watakuja kunimegea.
ukiwaendekeza hawa viumbe utabaki na kilo 2. huyu anakubana ili usitoke nje ya ndoa. ana hakikisha umechoka ndo anaondoka. chezeya wanawake wewe!..kaona hujatuli labda. asikutishe mtu wangu. na wewe mchoshe lakini ukitaka kuonyesha umwamba utafia kifuani. ingia jukwaa la kikubwa upate mafunzo shirikishi. mia
kama vp muache au tuaachie wenzio,watu tunatamani mtu kama huyo we una bahati thn unaleta usharobaro mijitu mingine bana aahh,fuata ushauri huo otherwise utajuta soon
nipe mie huyo nimnyooshe, mie natafuta kama hao hata siwapati, wangu ni mvivu kweli ananitia majaribuni kwa kweli,na sasa sipo nae tena naona amekimbia huo mziki, ningempata kama huyo ingekuwa poa sanaTuna mwaka na nusu ktk uhusiano wetu tumeanza kuduu kama miezi nane hivi lakini mwenzangu naona aninizidi nguvu maana tulianza na ratiba ya kuduu kila j2 baadae akadai anataka mara tatu kwa wiki na tunafanya hivyo lakin mwenzenu naona nashindwa maana nisipomfikisha mara tatu au nne halali, nimepima uzito nimepungua kwa sababu yake, nlikua naenda gym imebid niache maana nachoka sana na kukosa nguvu wakati wa mazoezi, wana jf naembeni msaada nimfanyeje huyu mpenzi wangu, nina mpango wa kumuoa lakini nshaanza kumuogopa.
Tuna mwaka na nusu ktk uhusiano wetu tumeanza kuduu kama miezi nane hivi lakini mwenzangu naona aninizidi nguvu maana tulianza na ratiba ya kuduu kila j2 baadae akadai anataka mara tatu kwa wiki na tunafanya hivyo lakin mwenzenu naona nashindwa maana nisipomfikisha mara tatu au nne halali, nimepima uzito nimepungua kwa sababu yake, nlikua naenda gym imebid niache maana nachoka sana na kukosa nguvu wakati wa mazoezi, wana jf naembeni msaada nimfanyeje huyu mpenzi wangu, nina mpango wa kumuoa lakini nshaanza kumuogopa.
Ni kweli mkuu tunazini ndo mana nataka nimuoe ili kuondoa uzinifu, asante kwa ushauri ntaufanyia kazi.
Mpaka sasa namtimizia sana tu ila bado anaona hatosheki anataman iwe kila siku, kinachoniogopesha anataman nimwoe haraka ili afaid kila cku ukiangalia kurud kazini saa 3 ucku kuamka saa kumi na nusu asubuh si watakuja kunimegea.
Unamuogopa kwa sababu anataka mara kwa mara sio?
Kwahiyo unataka umuoe aje kwako kulala, kakuambia kwao hamna kitanda!!!
Cha kufanya: mpe mara zote anazotaka kama nafasi na mazingira yanaruhusu.....la sivo wajanja watakusaidia ubaki unalalamika tu ooh wanawake sio waaminifu!!!!!
Tatizo ni kwamba mnazini, sasa lile pepo la zinaa limemkamata huyu bi dada na linamwendesha kweli....usipoangalia kuna uwezekano ipo siku naniihii yake itaimemena kabisa nanihiii yako.
Ushauri:
njooni kwa YESU awafanye viumbe wapya, ya kale yote yatapita NAYE atayafanya kuwa mapya
Unamuogopa kwa sababu anataka mara kwa mara sio?
Kwahiyo unataka umuoe aje kwako kulala, kakuambia kwao hamna kitanda!!!
Cha kufanya: mpe mara zote anazotaka kama nafasi na mazingira yanaruhusu.....la sivo wajanja watakusaidia ubaki unalalamika tu ooh wanawake sio waaminifu!!!!!
Mpaka sasa namtimizia sana tu ila bado anaona hatosheki anataman iwe kila siku, kinachoniogopesha anataman nimwoe haraka ili afaid kila cku ukiangalia kurud kazini saa 3 ucku kuamka saa kumi na nusu asubuh si watakuja kunimegea.
bora awaachie wanaojiweza....
Sure....
Siku akipata huyo wa kumpa 2*3 dozi ya mtu mzima....utabaki na manyoya mkononi kaka!!!!