Ana hamu iliyopitiliza hadi namwogopa!

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,418
7,740
Tuna mwaka na nusu ktk uhusiano wetu tumeanza kuduu kama miezi nane hivi lakini mwenzangu naona aninizidi nguvu maana tulianza na ratiba ya kuduu kila j2 baadae akadai anataka mara tatu kwa wiki na tunafanya hivyo lakin mwenzenu naona nashindwa maana nisipomfikisha mara tatu au nne halali, nimepima uzito nimepungua kwa sababu yake, nlikua naenda gym imebid niache maana nachoka sana na kukosa nguvu wakati wa mazoezi, wana jf naembeni msaada nimfanyeje huyu mpenzi wangu, nina mpango wa kumuoa lakini nshaanza kumuogopa.
 
Tatizo ni kwamba mnazini, sasa lile pepo la zinaa limemkamata huyu bi dada na linamwendesha kweli....usipoangalia kuna uwezekano ipo siku naniihii yake itaimemena kabisa nanihiii yako.

Ushauri:
njooni kwa YESU awafanye viumbe wapya, ya kale yote yatapita NAYE atayafanya kuwa mapya
 
Unamuogopa kwa sababu anataka mara kwa mara sio?
Kwahiyo unataka umuoe aje kwako kulala, kakuambia kwao hamna kitanda!!!
Cha kufanya: mpe mara zote anazotaka kama nafasi na mazingira yanaruhusu.....la sivo wajanja watakusaidia ubaki unalalamika tu ooh wanawake sio waaminifu!!!!!
 
Ni kweli mkuu tunazini ndo mana nataka nimuoe ili kuondoa uzinifu, asante kwa ushauri ntaufanyia kazi.
 
Tatizo ni kwamba mnazini, sasa lile pepo la zinaa limemkamata huyu bi dada na linamwendesha kweli....usipoangalia kuna uwezekano ipo siku naniihii yake itaimemena kabisa nanihiii yako.

Ushauri:
njooni kwa YESU awafanye viumbe wapya, ya kale yote yatapita NAYE atayafanya kuwa mapya

Ameeeeen!!!!!!!!
 
Tuna mwaka na nusu ktk uhusiano wetu tumeanza kuduu kama miezi nane hivi lakini mwenzangu naona aninizidi nguvu maana tulianza na ratiba ya kuduu kila j2 baadae akadai anataka mara tatu kwa wiki na tunafanya hivyo lakin mwenzenu naona nashindwa maana nisipomfikisha mara tatu au nne halali, nimepima uzito nimepungua kwa sababu yake, nlikua naenda gym imebid niache maana nachoka sana na kukosa nguvu wakati wa mazoezi, wana jf naembeni msaada nimfanyeje huyu mpenzi wangu, nina mpango wa kumuoa lakini nshaanza kumuogopa.

Ipe Timu mechi za majaribio kabla ya kucheza mechi na Timu hii.Utajikuta unadhibiti hali ya mchezo.
 
Huku kwetu ziwani kuna vi-mnyama vinaitwa fisi maji, mtafutie kamoja kama hako, atakimbia na nanihii mkononi!.
 
Unamuogopa kwa sababu anataka mara kwa mara sio?
Kwahiyo unataka umuoe aje kwako kulala, kakuambia kwao hamna kitanda!!!
Cha kufanya: mpe mara zote anazotaka kama nafasi na mazingira yanaruhusu.....la sivo wajanja watakusaidia ubaki unalalamika tu ooh wanawake sio waaminifu!!!!!

Mpaka sasa namtimizia sana tu ila bado anaona hatosheki anataman iwe kila siku, kinachoniogopesha anataman nimwoe haraka ili afaid kila cku ukiangalia kurud kazini saa 3 ucku kuamka saa kumi na nusu asubuh si watakuja kunimegea.
 
ukiwaendekeza hawa viumbe utabaki na kilo 2. huyu anakubana ili usitoke nje ya ndoa. ana hakikisha umechoka ndo anaondoka. chezeya wanawake wewe!..kaona hujatuli labda. asikutishe mtu wangu. na wewe mchoshe lakini ukitaka kuonyesha umwamba utafia kifuani. ingia jukwaa la kikubwa upate mafunzo shirikishi. mia
 
Mwambie ajiunge na gym, akifanya mazoezi atachoka sana wala hatakusumbua. Ila sijui utamwabiaje maana akigundua unamshauri aende gym kisa 'kazi' imekushinda, atakutafutia msaidizi!

Nilimshauri akakubali lkn anataka aende gym nnayoenda mm lkn kibaya hapo iko mbali sana na anapofanyia kazi
 
Sasa hata kama mbali ye si kataka mwenyewe kwenda gym unayoenda! Mwache aende hiyo.
 
Ipe Timu mechi za majaribio kabla ya kucheza mechi na Timu hii.Utajikuta unadhibiti hali ya mchezo.

Tatizo sio kwamba cwezi namfikisha na anaridhika kwa cku ya tukio ila akija cku nyingne ni kama hajaguswa mwezi wakati ratiba ni mara mbili au tatu kwa wiki
 
Sasa hata kama mbali ye si kataka mwenyewe kwenda gym unayoenda! Mwache aende hiyo.

Tatizo linakuja mda wa kutoka kazi kwake hadi ilipo gym ninayofanyia ndo mana ameshindwa kufika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom