Amyner!

yaani mie nimekua adui yako usiku huu?
Wakati mchan kutwa tulikuwa tunakimbizana na suti zetu za asili nyumba nzima? Sitaki kuamini..........


Anyway....
Amyner unamrudia Erickb52? Ule mjenho wa The Boss unaurudisha?

Acha uchokozi! Iache ndoa ya watu idumu,
humu ndani wapo vijana wengi tu hawana wenza.......... erickb2 na Amyner kesho watasafiri kwenda Uswisi kupumzika kwa wiki 2!
 
Last edited by a moderator:
Amyner darling... achana na @Ericb52, hakufai kabisa hata kwa mchuzi.

kuna kaka'angu anakupenda na anajua kulea wala hana purukushani. ni mwanaume wa ukwee

akitoka nje atatoka kwa mmoja tu sio kama Eric anaetoka na sisi wengi. come this way Amy........
Erotica umecgelewa....mchukue BADILI TABIA mkajipange upya
 
Last edited by a moderator:
Acha uchokozi! Iache ndoa ya watu idumu,
humu ndani wapo vijana wengi tu hawana wenza.......... erickb2 na Amyner kesho watasafiri kwenda Uswisi kupumzika kwa wiki 2!

Dah natamani hata niondoke na bibie usiku huu kwenda hukooo kuwapisha hawa majungj makers
 
Last edited by a moderator:
Kipenzi changu Amyner....!
Najua nilikukosea sana ila nashukuru things are now good,kweli u muelewa na mwenye mapenzi ya dhati kwangu,Nakuahidi kulinda penzi letu kwa nguvu zote!
Pia hii ishu imenisaidia kuwajua wabaya wangu, Bishanga BADILI TABIA Remmy Nicas Mtei BAGAH Erotica Baba V wote hawa sio rafiki wema...!
Nimewajua friends wa kweli, Kongosho thanks sn Smiling Saint The secretary Qt B YNNAH wote nasema asante sana kwa upendo wenu.
Mamndenyi thanks mumy
special thanks kwa Judgement na Mwanyasi !
Mwisho nawajulisha kuwa mi na Amyner Hakunaga zaidi yetu....
Amyner, I love you so much!
Signed
Erickb52

pole na misukosuko na höngereni kwa kufikia muafaka. Unakumbuka nilikudadecate HAKUNAGA eee?
 
Last edited by a moderator:
Napita tu hapa, nahisi kizunguzungu kimenipata. Sina hamu kuonwa nina roho mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom