Amwagi kabisa

yani ni kwamba huyo mtu hafiki ? Akifika vinatoka nini? Au hewa.?
Fafanua tuelewe.
 
NILICHOMSHAURI
Aache mchezo wa masterbeshen na amekiri kuwa anafanya mchezo huo

Kwani punyeto inazuia mwanaume kumwaga manii?

Kwa namna ulivyoelezea mimi nadhani kuna tatizo zaidi ya punyeto, unless utuambie kuwa akifanya masturbation huwa anatoa manii lakini si wakati wa ngono...
 
Kwani punyeto inazuia mwanaume kumwaga manii?

Kwa namna ulivyoelezea mimi nadhani kuna tatizo zaidi ya punyeto, unless utuambie kuwa akifanya masturbation huwa anatoa manii lakini si wakati wa ngono...

Angefurahia tu bana maana kanataka kamtundike mtu kibendi
 
me sijapata picha kamili hapo... unasema hamwagi.. alafu umemwambia aache puli!!! so puli huwa inamwagisha na sio wanawake??.... Majanga....
 
FANYIA KAZI USHAURI HUU: inaonesha homoni zake za testes hazipo vizuri;
ale kila siku karanga za kukaanga kiasi cha gramu 100 yani asubuhi gramu 50, na jioni 50 kila siku kwa siku 30 na ndani ya muda huo asitanie testes aziache zijijenge yani asijihusishe na kufanya ngono wala punyeto; akae mbali na tamaa na pia awe anakunywa juisi ya matunda ambayo flesh haijapitia kiwandani glasi 2 kwa siku yani asubuhi akiamka, na jioni akitaka kulala, baada ya mwezi mmoja atakuwa barabarani kama watu wengine !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom