illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 700
Ukichunguza hawa wengi chimbuko lao wengi watakuwa wamekulia bongo.............Vizuri wasema vizuli..nk..
Na walimu wenyewe wengi wakileo wanakosea viswahili watoto watajifunza kiswahili vipi
Na walimu wenyewe wengi wakileo wanakosea viswahili watoto watajifunza kiswahili vipi
Hivi njyie watoto mna matatizo gani na kiswahili?
Amwagi-Hamwagi
Aya-Haya
Ebu-Hebu
Akuna-Hakuna
Aji-Haji
Mna matatizo gani nyie?
Halafu ukitazama wenye haya matatizo ni wale wa kuanzia miaka 13-25,mmeumbwaje nyie?