jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Itakua niwewe
Tatizo litakuwa nini ndugu
Mwanaume ambaye hamwagi tunamuita MULTORGASMIC MAN, ni mzuri kwenye game, hasa hama anaweza kutumia uume wake vizuri, ila kama hamwagi 100% basi kutakuwa na hililafu sehemu.
Nnamshauri, awe anafanyia massage p.u.m.b.u zake, itasaidia kufungua mirija inayo safirisha na kuhufadhi manii.
Pia massage inasaidia kuongeza sperm production kwa sababu ukifanya massage unaondoa congestion ambayo ipo pumbuni.
Zaidi zaidi nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi.
He ....
Kumbe korodani zinafanyiwa masaji!
Mimi huwa sina muda wa kucheza na cheti zangu, kwakweli sitothubutu nikae nijishike shike hapanaYeah, nenda berbershop pale wakufanyie, kama unaona aibu fanya mwenyewe wakati wa kulala/ unapokuwa peke yako.
kama hamwagi basi amwagiwe
usiseme rafiki yako sema ww mwenyewe
Habareee!
Jamaa yangu amekuwa na msiba mzito sana maishani mwake
Truly ameniomba ushauri juu ya tatizo lake kuwa hajawahi kumwaga manii au mbegu au shahawa toka aanze kufanya mapenzi na mabinti,kwa sasa anadai amefanya mapenzi na mabinti 6 ili kujaribu kuling'amua tatizo lakin hali ni ileile
NILICHOMSHAURI
Aache mchezo wa masterbeshen na amekiri kuwa anafanya mchezo huo
Wanajf jaribuni kunipa majibu zaid ili nimwokoe ndugu yangu huyu
Actually ana miaka 26
aache kupiga puli sasa, maana inaoneka anapiga puli mpk 'mabegu' yanaisha af akienda kwa demu anatoa hewa.....mpe pole
mwambie ale karanga mbichi za kutosha...