Amwagi kabisa

Amwagi kabisa

mkuu kweli nimefikiria mbali sana hii nchi inawatu wa ajabu sana
melo aliliona hilo way back 2006 alipoamua kanzisha mtandao huu na kama sio melo usingecheka leo ...

mkuu tumbo salama lakini

Salama kabisa mkuu
 
Habareee!

Jamaa yangu amekuwa na msiba mzito sana maishani mwake
Truly ameniomba ushauri juu ya tatizo lake kuwa hajawahi kumwaga manii au mbegu au shahawa toka aanze kufanya mapenzi na mabinti,kwa sasa anadai amefanya mapenzi na mabinti 6 ili kujaribu kuling'amua tatizo lakin hali ni ileile

NILICHOMSHAURI
Aache mchezo wa masterbeshen na amekiri kuwa anafanya mchezo huo

Wanajf jaribuni kunipa majibu zaid ili nimwokoe ndugu yangu huyu
Actually ana miaka 26

Kumbe unaweza kujfanyia vasectomy kwa kupiga punyeto?
 
Fafanua zaid ndg

Mkuu kutokana na maoni ya wachangiaji wengi humu inaonekana huyo jamaa yako (ambaye si ajbu ni wewe mwenyewe) ameathirika hivyo kwa sababu ya punyeto. Vesectomy ni procedure ya kitaalamu anayofanyiwa mwanamume asimamishe lakini asimwage. Ni mpango wa uzazi unaowahusu wanaume.
 
pole nenda hospitali....

nikionaga comment zako huwa nafurahi sana sijui unawazaga nini na to be honest leo ndo mara ya kwanza kukuona unajibu serious(sijui
kama siku zote unakuwaga serious au la)

kiukweli nimekupenda bure......
 
Kazoea pull atamwagaje mwambie ajaribu pull aone nayo amwagi?.......
 
Mwambie aache kuangalia movie za ngumi aangalie za mapenzi tu!!
 
Mie naona ushauri mzuri zaidi ni wa kitabibu, so jampasa afike hospital kwanza ndo atapata ushauri wa kutosha kwani kwa kusema masters ndo iliyomsababishia uwezekano huo ni mdg maana majita wengi skonga madomo zege ilikuwa ndo zao na hawajapata athari kama izo!
 
Mwambie siku akipiga puli awe na kikombe au bakuli.Akimwaga amwagie kweny kikombe then akija kutana na dem wake itakuwa rahisi tuu,akipiga kias cha kutosha anamiminia humo kwa dem.kwshney.
 
Ila asikose kutafuna Nazi,karanga na Mihogo mibichi.ataongeza charge.
 
Habareee!

Jamaa yangu amekuwa na msiba mzito sana maishani mwake
Truly ameniomba ushauri juu ya tatizo lake kuwa hajawahi kumwaga manii au mbegu au shahawa toka aanze kufanya mapenzi na mabinti,kwa sasa anadai amefanya mapenzi na mabinti 6 ili kujaribu kuling'amua tatizo lakin hali ni ileile

NILICHOMSHAURI
Aache mchezo wa masterbeshen na amekiri kuwa anafanya mchezo huo

Wanajf jaribuni kunipa majibu zaid ili nimwokoe ndugu yangu huyu
Actually ana miaka 26
akowa tayari anataka kumwaga wambie abadili style aweke mbuzi kagoma tatizo litaisha tu tena mapemaaaaaaaa
 
usiseme rafiki yako sema ww mwenyewe
Ni muhimu kumsaidia mwanaJF ila na sie tusijisahau: timu bamia; nilishaitwa ki bamia hapa (mind you bila exhibit) so nifanyaje nijiunge ktk timu yako? Je kuna classification hapo? :A S wink:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom