Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Unakimbilia wapi weweee baki hapaa unisimulie vizuri mambo yako mazito๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„!
Kweli Uzee shida, yaani hapo nimekimbia mita 500 tu tayari nahema Juu juu, imagine upo na dogodogo si ataniua kitandani ๐Ÿ™Š๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ
 
Kweli Uzee shida, yaani hapo nimekimbia mita 500 tu tayari nahema Juu juu, imagine upo na dogodogo si ataniua kitandani ๐Ÿ™Š๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ
Wanaume hamzeekagi nyie hata kama kizeee unakuta kinatembeza bakora sio kitoto!!
Tena hizo mita 500 Ndio unajua fit sana
 
Hahaha........Umri huu ni wa kupata Mzee mwenzako tu, ukijichanganya kwa Hawa Vijana ni hatari kwa afya ๐Ÿ™ˆ๐Ÿคช
Awapii... huo uzee ukipata kibinti ndio vizuri unakichakaza mpaka kinakuheshmu na salute juu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Ila nimewaza hizo staili za mpaka kuvunjana uti wa mgongo sizipatii picha Grahams unaeza nionesha mfano nizijue ili niweke tahadhari???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom