Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,907
- 57,704
Me bado siamini kama wapo wa hivyoAnatafuta sababu tu yakutokomea tu , naenda hapo maramoja ,hiyo maramoja nisaa 4 usiku![]()
Kuna mahali nimekusoma, unajua namna ya kumteka asiondoke. Ina maana kwa huyo mbinu za kumfanya asitoke zimeshindikana?
Hata za kuloweka nguo zote weekend?🏃🏃🏃





