Amsterdam & Partners LLP Retained by Tanzanian Political Prisoner Freeman Mbowe

Mzungu ashaona fursa hapo, baada ya kuona Lisu kaishiwa sasa kahamia kwa Mbowe akapige kama alivyopiga za Lisu. Ukosefu wa elimu kwa baadhi ya viongozi wa vyama ndio umesababisha mtu kama Amsterdam apate mwanya wa kupiga hela za wasiokuwa na elimu kiulani.

Waafrika sisi vituko tu duniani hapa. Acha wazungu waendelee kulikamua hili bara. Afrika imeshindwa kujisimamia. Na sababu kubwa ni ubinafsi wetu sote, siyo viongozi pekee. Waafrika huenda 90% ni wabinafsi sana.
 
E_zFnKeVUAETbEn
Ile kesi ya kumpeleka JPM The Hague iliishia wapi? Au anafikiri tumesahau?
Mrejesho please.
 
Mzungu ashaona fursa hapo, baada ya kuona Lisu kaishiwa sasa kahamia kwa Mbowe akapige kama alivyopiga za Lisu. Ukosefu wa elimu kwa baadhi ya viongozi wa vyama ndio umesababisha mtu kama Amsterdam apate mwanya wa kupiga hela za wasiokuwa na elimu kiulani.
Uwendawazimu ndiyo huo ulioandika. Mwehu akiona unapita karibu na jalala, anahisi na wewe umeenda kuokota makopo. Kwa sababu wewe ni mpigaji wa hela, unadhani kila mmoja ni mpigaji kama wewe. Usidhani kila mmoja hajastaarabika kama wewe. Kuna wengine evolution ilikamilika, na kwa ninyi wengine, ndiyo hivyo tena, mpo kama mlivyo.
 
Mzungu ashaona fursa hapo, baada ya kuona Lisu kaishiwa sasa kahamia kwa Mbowe akapige kama alivyopiga za Lisu. Ukosefu wa elimu kwa baadhi ya viongozi wa vyama ndio umesababisha mtu kama Amsterdam apate mwanya wa kupiga hela za wasiokuwa na elimu kiulani.
Wakili msomi Kibatala kwani fupa limekuwa gumu amelitema?
 
Mboga na ugali vilikuwa vya moto.... Sasa naona hadi maji ya kunawa wameyachemsha 😁😁

Sa100 ajitahidi kutenda haki na kukemea maovu nchini la sivyo awamu yake ataiona chungu kama mwenzake marehemu
 
Mwenyekiti CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe, amepata mawakili wapya kumwakilisha katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumi na ugaidi. Mbowe alikamatwa mwezi Julai mjini Mwanza na sasa atawakilishwa na wakili wa kimataifa Robert Amsterdam akishirikiana na mawakili wengine

Freeman Mbowe, a Tanzanian opposition politician and chairman of the Chadema party who was arrested in nighttime police raid this past July, will be represented by international lawyer Robert Amsterdam, founding partner of Amsterdam & Partners LLP, in coordination with local defense counsel.

The arrest of Mbowe and several others took place at approximately 2:30AM in a hotel in the northwestern port city of Mwanza the night before the Chadema chairman was going to host a public forum on constitutional reform, according to media reports. Mbowe was held in an undisclosed location beyond the reach of counsel for weeks and allegedly subjected to torture, before appearing in court for the first time on Friday, August 6, on trumped up charges of terrorism finance, says Amsterdam.

“We condemn the brazenly criminal conduct of the regime of President Samia Suluhu Hassan with these politically motivated charges against Mbowe,” says Amsterdam. “As we’ve already seen a judge recusal and direct comments by the President interfering in the case and tainting prospects of fair trial, it is abundantly clear to the international community that this is an authoritarian farce, not a judicial process.”

Amsterdam says that his firm will work closely with Mbowe’s local defense counsel, Mr Peter Kibatala and Mr. John Mallya, Esquire, to issue filings before a variety of international bodies. “We will ensure there are consequences for the Hassan regime for this egregious violation of Tanzania’s international commitments, while seeking accountability to all public servants who make themselves complicit in the government’s unlawful conduct,” says Amsterdam.

Amsterdam & Partners LLP also represents Tundu Lissu, the vice chairman of Chadema who competed in the 2020 presidential elections, among other opposition figures in the region such as Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) in Uganda. Amsterdam & Partners LLP is based in London and Washington DC. More information is available at Amsterdam & Partners LLP – International Law Firm | London | Washington DC.
Yaan CDM na Tindu Lissu ,huwa mnaangaika sana kuongea uongo wa kitoto.Yaan watu wameshawadharau sana.Lissu ulituambia kesi ya mbowe ni nyepesi sana.Lissu juzi umetuambia kama ndio huu ushahid wa polisi kesi imekwisha.Waswahili wanasema ukiwa muongo usiwe mwepesi wa kusau.Leo umekuja na jamaa yako tapeli mzungu,eti ndio ataweza kushinda kesi.Kwa hiyo kesi si nyepesi tena?Kibatala maji ya shingo.Kwa mwenendo wa kesi Mbowe anagungwa.
 
Wakili msomi Kibatala kwani fupa limekuwa gumu amelitema?
Kibatala amechoka kufanyishwa kazi kwa mazoea (kazi isiyokuwa na malipo) kwani jamaa ana familia. Waswahili wanasema mkono mtupu haulambwi, ngoja tuone Amsterdam itakuaje!
 
Mwenyekiti CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe, amepata mawakili wapya kumwakilisha katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumi na ugaidi. Mbowe alikamatwa mwezi Julai mjini Mwanza na sasa atawakilishwa na wakili wa kimataifa Robert Amsterdam akishirikiana na mawakili wengine

Freeman Mbowe, a Tanzanian opposition politician and chairman of the Chadema party who was arrested in nighttime police raid this past July, will be represented by international lawyer Robert Amsterdam, founding partner of Amsterdam & Partners LLP, in coordination with local defense counsel.

The arrest of Mbowe and several others took place at approximately 2:30AM in a hotel in the northwestern port city of Mwanza the night before the Chadema chairman was going to host a public forum on constitutional reform, according to media reports. Mbowe was held in an undisclosed location beyond the reach of counsel for weeks and allegedly subjected to torture, before appearing in court for the first time on Friday, August 6, on trumped up charges of terrorism finance, says Amsterdam.

“We condemn the brazenly criminal conduct of the regime of President Samia Suluhu Hassan with these politically motivated charges against Mbowe,” says Amsterdam. “As we’ve already seen a judge recusal and direct comments by the President interfering in the case and tainting prospects of fair trial, it is abundantly clear to the international community that this is an authoritarian farce, not a judicial process.”

Amsterdam says that his firm will work closely with Mbowe’s local defense counsel, Mr Peter Kibatala and Mr. John Mallya, Esquire, to issue filings before a variety of international bodies. “We will ensure there are consequences for the Hassan regime for this egregious violation of Tanzania’s international commitments, while seeking accountability to all public servants who make themselves complicit in the government’s unlawful conduct,” says Amsterdam.

Amsterdam & Partners LLP also represents Tundu Lissu, the vice chairman of Chadema who competed in the 2020 presidential elections, among other opposition figures in the region such as Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) in Uganda. Amsterdam & Partners LLP is based in London and Washington DC. More information is available at Amsterdam & Partners LLP – International Law Firm | London | Washington DC.
Huyo aloshindwa kumsaidia mkwewe Lisu ndio ataweza saizi?
 
Wanasemaga kule kwetu taarime na jirani yetu shirati----Tiyari wamedumbukia chooni! Hakuna kulegezeana mimacho tena ni kutokea mahakama za kimataifa! SSH unahitaji jini lenye nguvu sana kutaka kilindi cha bahari lakini huchomoki! ama utoe haki au---------------!!!
hao hawaruhusiwi wataishia kutoa mimacho tu mahakamani hawaongei kitu
 
Wazungu rafiki zake Mungu
... kuna mstari mmoja maarufu kwenye maandiko; Mungu akamuumba mwanadamu kwa mfano na sura yake! Sometimes huwa najiuliza hivi ni kweli viumbe wote wajulikanao kama watu wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu? Hata bwana yule? Mbona roho mbaya sana? Inafikirisha.
 
Tunaambiwa kuwa na subra maana.....

"Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu."

Tuwe na subra, kesi ikishaisha ndio tuseme

Mhubiri 7: 8 - 9​

Kwa wapambanaji wanaopigania Demokrasia, uhuru na haki kwa kila mtu, pamoja na haki zako, habari ya "kungojea" haipo. Ni ALUTA CONTINUA. Kama ni Neno la Mungu, hata makaburu walitumia, kimakosa, Biblia kuhalalisha ubaradhuli wao
 
Maji shingoni. Mbowe akichomoka kesi hii namwabudu mzungu. Alisema maisho wa uenyekiti 2023 kumbe alijua ndio itatoka Hukumu yake ya miaka 30. Lema jimilikishe tu mapema mke wa Gaidi.
 
... kuna mstari mmoja maarufu kwenye maandiko; Mungu akamuumba mwanadamu kwa mfano na sura yake! Sometimes huwa najiuliza hivi ni kweli viumbe wote wajulikanao kama watu wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu? Hata bwana yule? Mbona roho mbaya sana? Inafikirisha.
Labda wazungu wanaweza kuwa mfano wa sura yake, maana kuna msemo “wazungu rafiki zake Mungu,”
sisi wafrika wote ni mfano wa Manyani kwa sura na roho zetu mbaya..
Mungu anismehee kama nitamkwaza Insha’Allah..
 
Back
Top Bottom