Amri kumi kwa wapendao ofa

Wewe nae unakuwa mgumu kuelewa...... hadi niseme moja kwa moja!?? afu kumbuka unaongea na mtu mkubwa sana hapa...


Hehehehehehe...... Sidanganyiki Baba V
 
Last edited by a moderator:

Unamtetea Mamndenyi? Ye anapewa ofa halafu anakupa wewe. Halafu kile ki baby walker{Vitz} nlmpa baba mkwe watu8
 
Last edited by a moderator:

Nakala kwa JF Rock City Wing.... Naomba next meeting niwe mtoa ofa ili nifanyiwe haya yote....

Mmesikia wooote... ram, Rock City, Home First, Elizabeth Dominick, ThinkPad na wageni wote watakaofika!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Tulishakuwa mwili mmoja, anaruhusiwa kunisemea, naruhusiwa kumsemea..... Una jingine?

Tangu akubali kubambikiwa mtoto unajifanya unampeeenda...!! kumbe wizi mtupu.
 
Tangu akubali kubambikiwa mtoto unajifanya unampeeenda...!! kumbe wizi mtupu.

Inakuhusu? Mi nikiibiwa we unakatika miguu? We una uhakika gani kuwa watoto aliozaa Mama v ni wa kwako?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…