Amplirire! Amplifire! Amplifire! Inahitajika.

Amplirire! Amplifire! Amplifire! Inahitajika.

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Ni Amplifire za kurushia picha kwenye
cable. Nilishawahi andika hapa kuna
baadhi wakanishauli nitumie faiba
kuwaomba ufafanuzi zaidi kuhusu hiyo
faiba wakaingia mitini. Njia
nnayoielewa vizuri ni hiyo ya kutumia Amlifire nahitaji powerful amplifire
mwenye kufahamu zilipo ani PM.
Napokea changamoto kutoka kwa
wadau. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom