Ampa first born jina la Ex wake!!

Ampa first born jina la Ex wake!!

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
::
Anaonekana mwenye furaha sana unapotaja jina la mtoto wake.
Lakini kuna wakati anatoa chozi,,anainama,,na anafikiri sana na uso wake unapoteza uangavu wake wa asili.
::
Anasema hakutegemea kuolewa na mume aliyenae sasa.Ila alikosana sana na ex wake baada ya yeye kutendwa na kuumizwa sana
::
Kwa kuwa alisalitiwa na aliyempenda hakuwa na jinsi na ikafikia hatua ya kutengana na ex huyo.Lakini njia ya kumuenzi na kumsamehe X aliyempenda alimshawishi mumewe ampe jina hilo,,ambalo mumewe hakujua chanzo chake.
Na anasisitiza anafurahi sana akisikia linatajwa.
Mtoto wake huyu wa kiume ana miaka 4 kwa sasa.
::
Jamani wana JF njia nyingine rahisi hiyo ya kuwaenzi na kuwasamehe "TULIOWAPENDA" ila hayakuwa majaliwa kuwa nao ni kuwapa watoto wetu majina ya ex wetu
=
 
Nafikiri hiyo sio fair kabisa ni moja ya jambo ambalo linonyesha dhahiri kuwa mtu kamwe hawezi kumsahau zilipendwa wake na mwenzi aliyenaye kwa wakati huo hawezi pendwa kama Ex alivyopendwa,na kiukweli hii inumiza sana kwani ni kama vile unachezea hisia za mwenzio.Nafikiri kama we ni mtu unayejijua umewahi kuwa na ex ambaye huwezi kumsahau na huwezi kulificha hilo ni bora kutooa au kuolewa kabisa au kuepuka maswala ya kuwapa waotot majina ya ma ex wenu ili kuepuka kuumiza wake au waume mnaokuwa nao kwa wakati huo.
 
Blue G
haa! Bora usioe au kuolewa tena? Watoto utapataje?
 
Last edited by a moderator:
wehu huo!
maswala ya kuweka archives za maumivu mimi nilishayakataa!
niliyakataa na siyataki!
uniumize leo na milele?
ahahahhahahha haipo i see!NAUMIA SASA!NALIA WEEEEE!NALIAAAAAA!
NIKIYAFUTA NA NIKAYAKOGA!
imekwisha i see!veeery FINITO!
nipate mume anienzi,anipe stara,anipe mapenzi,tupate mtoto nimwite jina la X,
ngumu I SEE!
kama mimi ni mume,SIKU NITAKAYOGUNDUA ,na mimi utamtafuta wa kuzaa nae umpe jina langu!
 
wanawake ni viumbe hatari sana wakati mwingine;kuna dada mmja alikuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtumishi mmja (mchungaji) sasa basi ilipokaribia kufunga ndoa yao alimlazimisha mume wake yule kufa na kupona lazima mchungaji awe msimamizi wa ndoa yao na kweli yule mchungaji ilibidi aite mchungaji mwingine aje kufungisha ile ndoa yeye akawa msimamizi.i can recall sijui huyu dada alimaanisha nini mpaka leo nikimwona huwa na:frusty: sipati jibu nndio aalimuenzi au la!!
 
wehu huo!
maswala ya kuweka archives za maumivu mimi nilishayakataa!
niliyakataa na siyataki!
uniumize leo na milele?
ahahahhahahha haipo i see!NAUMIA SASA!NALIA WEEEEE!NALIAAAAAA!
NIKIYAFUTA NA NIKAYAKOGA!
imekwisha i see!veeery FINITO!
nipate mume anienzi,anipe stara,anipe mapenzi,tupate mtoto nimwite jina la X,
ngumu I SEE!
kama mimi ni mume,SIKU NITAKAYOGUNDUA ,na mimi utamtafuta wa kuzaa nae umpe jina langu!

Da, snowhite
naona una hasira kweli.Pole lakini
 
Last edited by a moderator:
wehu huo!
maswala ya kuweka archives za maumivu mimi nilishayakataa!
niliyakataa na siyataki!
uniumize leo na milele?
ahahahhahahha haipo i see!NAUMIA SASA!NALIA WEEEEE!NALIAAAAAA!
NIKIYAFUTA NA NIKAYAKOGA!
imekwisha i see!veeery FINITO!
nipate mume anienzi,anipe stara,anipe mapenzi,tupate mtoto nimwite jina la X,
ngumu I SEE
!
kama mimi ni mume,SIKU NITAKAYOGUNDUA ,na mimi utamtafuta wa kuzaa nae umpe jina langu!

So unfair kwa kweli.
 
Mimi hata nikisikia mtu anaitwa jina hilo namchukia.......baadae nikipata fahamu ndio nagundua kumbe sio yule.......watu wana roho...,
 
Kama ni mtoto tu tafuta mtu mwenye malengo kama yako yaani ya kupata mtoto tu na usitafute mwenye malengo ya kujenga ndoa iliyojaa upendo na haiba,huyo ataishia kuwa dissapointed tu,jambo ambalo si vizuri kulifanya mkuu Tetra au unasemaje kwa hapo?
Blue G
haa! Bora usioe au kuolewa tena? Watoto utapataje?
 
Last edited by a moderator:
Na nina wasiwasi ni wachache wanaojua maana ya kulet go maanake visa kama hivi vipo vingi sana tena kote si waume wala wake.
Hajui maana ya ku"let it go"
 
Kama ni mtoto tu tafuta mtu mwenye malengo kama yako yaani ya kupata mtoto tu na usitafute mwenye malengo ya kujenga ndoa iliyojaa upendo na haiba,huyo ataishia kuwa dissapointed tu,jambo ambalo si vizuri kulifanya mkuu Tetra au unasemaje kwa hapo?

Umenena
 
Last edited by a moderator:
Binadamu tumeumbwa kusahau (but only kama umedhamiria).
Unamuenzi huyo amekua BABA WA TAIFA?
..
Kuna binti mmoja nae alifanya mchezo huo wa kumuezi X wake kwa kumpa jina 1st born wake bila kumwambia mume asili ya jina. Siku moja akaota zile ndoto za kuongea mara akatamka jina la X wake kimahaba ndotoni. Mume akastuka na kuuliza kulikoni unatamka jina la mtoto kimahaba kwa ndoto.. Bidada akajitetea, ooh unajua ni mtundu sana, ooh ni ndoto tu.. Jamaa kuchunguza akagundua ni jina la X wake. Huo ugomvi wake usitake kuujua ulikuaje but wakasuluhishwa na mtoto akabadilishwa jina at the age of 2years.
..
MY TAKE
Matatizo mengine tunajitakia wenyewe!
 
tokajana humu mmu wanamuudhi sana snowhite na gfsonwin,yaani poleni sana dada zangu wapendwa pasaka hiyo twendeni zetu arusha tukapumzike kijiwe kinamaudhi kwa kweli

bora wangeishia kutuudhi wanatuliza ujue!
kuna mwingine leo kaamka nalo asubuhi!eti oh nimesomeshwa toka form one mpka chuo,lakini simpendi!
nimepata sharo huyu wa miaka yote nahisi ni freemason anaweza kunitoa kafara,aftene hajasoma!
nipage tu hiyo trip!
nafkir we neeed one!
 
::
Anaonekana mwenye furaha sana unapotaja jina la mtoto wake.
Lakini kuna wakati anatoa chozi,,anainama,,na anafikiri sana na uso wake unapoteza uangavu wake wa asili.
::
Anasema hakutegemea kuolewa na mume aliyenae sasa.Ila alikosana sana na ex wake baada ya yeye kutendwa na kuumizwa sana
::
Kwa kuwa alisalitiwa na aliyempenda hakuwa na jinsi na ikafikia hatua ya kutengana na ex huyo.Lakini njia ya kumuenzi na kumsamehe X aliyempenda alimshawishi mumewe ampe jina hilo,,ambalo mumewe hakujua chanzo chake.
Na anasisitiza anafurahi sana akisikia linatajwa.
Mtoto wake huyu wa kiume ana miaka 4 kwa sasa.
::
Jamani wana JF njia nyingine rahisi hiyo ya kuwaenzi na kuwasamehe "TULIOWAPENDA" ila hayakuwa majaliwa kuwa nao ni kuwapa watoto wetu majina ya ex wetu
=

Hivi ni kwa nini mnakuaga na roho ngumu hivyo......yani, yani ,yani kweli ukampe mwanangu jina la basha wako wa zamani? pamoja na kukutunza na kukupenda kumbe moyoni mwako una uneyempenda zaidi.......
 
Mamangu mzazi najua unanipenda na mimi nakupenda sana pia lkn kulingana na mabinti wa siku hizi walivyo utanisamehe maana nitachelewa kukuletea mjukuu mapema tofauti na matarajio yako sitaki kufanywa kama jamaa huyu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom