kwa stahili hii mie nahama jukwaa bora nirudi intellijensia na akina
Kiranga.
kila siku mambo hovyo hovyo ooh shit!
lakini kosa hapo ni la mume kwann nasema ni la mume?
alikuwa wapi hadi mtoto achaguliwe jina na mama?? na kama walijadili why didn't he question about it??
nimezaa midume mitupu na katika hao nimewapa majina mimi ila huzzy kila jina alikuwa naniuliza kwann tuite hivi??
mmoja nilimwamia kabisaa huyu Mungu kamchagua awe wetu so nikamwita kwa jina hilo mwingine nikasema huu ni ushind hasa nikizingatia tulikopita akasema kweli mwingine nikasema hapa mungu katuzawadia na akawa hivyo nk so mume na mke wanatakiwa wajadili juu ya jina la mtoto na litolewapo lazima liwe ambalo halina ukakasi maskion mwenu.
sasa unakuja kulialia mwanaume mzima ili nini
Tetra mwambie huyo kaka achukue BC ya huyo mtoto aende mahakaman akaape kumbadilisha jina tena with 4 yrs litasahaulika kabisa kabisa manake kama hana amani nalo analia inaweza ikamjengea chuki kwa mtoto.
mimi saa hizi ungenikuta niko RITA natafuta cheti kingine cha kuzaliwa hata kama ni kwa kuhonga chenye jina jingine na la ubatizo nafuta kila kitu b4 hajaanza shule.