Ampa first born jina la Ex wake!!

Ampa first born jina la Ex wake!!

Vipi ikitokea coincidence kwa mfano umepata mtoto wa kiume halafu mume wako anapendekeza (bila kujua) apewe jina la ex bf wako? Unalikataa au unafanyaje?
 
wanawake ni viumbe hatari sana wakati mwingine;kuna dada mmja alikuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtumishi mmja (mchungaji) sasa basi ilipokaribia kufunga ndoa yao alimlazimisha mume wake yule kufa na kupona lazima mchungaji awe msimamizi wa ndoa yao na kweli yule mchungaji ilibidi aite mchungaji mwingine aje kufungisha ile ndoa yeye akawa msimamizi.i can recall sijui huyu dada alimaanisha nini mpaka leo nikimwona huwa na:frusty: sipati jibu nndio aalimuenzi au la!!

Heeee, KakaKiiza alikuachia maumivu kumbe?!
 
Last edited by a moderator:
::
Anaonekana mwenye furaha sana unapotaja jina la mtoto wake.
Lakini kuna wakati anatoa chozi,,anainama,,na anafikiri sana na uso wake unapoteza uangavu wake wa asili.
::
Anasema hakutegemea kuolewa na mume aliyenae sasa.Ila alikosana sana na ex wake baada ya yeye kutendwa na kuumizwa sana
::
Kwa kuwa alisalitiwa na aliyempenda hakuwa na jinsi na ikafikia hatua ya kutengana na ex huyo.Lakini njia ya kumuenzi na kumsamehe X aliyempenda alimshawishi mumewe ampe jina hilo,,ambalo mumewe hakujua chanzo chake.
Na anasisitiza anafurahi sana akisikia linatajwa.
Mtoto wake huyu wa kiume ana miaka 4 kwa sasa.
::
Jamani wana JF njia nyingine rahisi hiyo ya kuwaenzi na kuwasamehe "TULIOWAPENDA" ila hayakuwa majaliwa kuwa nao ni kuwapa watoto wetu majina ya ex wetu
=

Niache kuwaenzi wale walionitendea mema kwa kupoteza muda wao au pesa zao au chochote kile kwa ajili yangu niende kuwaenzi wapuuzi walioutesa moyo wangu? Siwezi fanya hivi hata kidogo. Nitawasamehe lakini si kuwaenzi!!!
 
bora wangeishia kutuudhi wanatuliza ujue!
kuna mwingine leo kaamka nalo asubuhi!eti oh nimesomeshwa toka form one mpka chuo,lakini simpendi!
nimepata sharo huyu wa miaka yote nahisi ni freemason anaweza kunitoa kafara,aftene hajasoma!
nipage tu hiyo trip!
nafkir we neeed one!

Huyo wa asbh hii snowhite hata mimi alinikera lol!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina principle moja:

- Sitamruhusu mke wangu kuchagua jina la mtoto wangu wa kiume (labda TU liwe la baba yake).:nono:
 
It's not fare at all.....Kama kumwezi X ni bora ukabaki bila kuoa/kuolewa ili ukipata mtoto ktk mapito yako umpe majina ya X's wako.....Kama ulimpenda sana na alikupenda ni wazi mngeoana.
 
Mimi nina principle moja:

- Sitamruhusu mke wangu kuchagua jina la mtoto wangu wa kiume (labda TU liwe la baba yake).:nono:

nashkuru sasa angalau umenitamkia kuwa utaoa mdogo wangu!
ahsante!
tunaweza kuanzia hapo juu ya ile battle yetu kuwa,nampata wapi wa aina hii?
pamoja na haya yooote yoote bado good girls wapo!na hakika utampata!
 
Hivi sijielewi ndo kaniacha??

Inawezekana Nivea kakuacha. Ndo maana anataka kukuenzi kwa kutoa jina lako kwa mwanae anayefuata. Sikujua kama wewe ni shemeji yangu, lol!
 
Last edited by a moderator:
heeee, kakakiiza alikuachia maumivu kumbe?!
usinikumbushe kaka yangu alafu eti akataka akajilipue kwa amu na nina wasiwasi huyu ndio yule Aliyemyang'anya lecture tonge lake mdomoni by specification za amu ni KakaKiiza mtupu baada tu ya bday ya Paloma mambo yaliniharibikia nikajiweka pembeni kuepusha msongamano
 
Last edited by a moderator:
siwezi kufanya huo upumbavu ht kidogo.......yeye amekuwa nani hadi nimuenzi kwa kumpa mtoto jina lake.
km majina yameisha ni heri nimpe ht jina langu ni heri ionekane kuwa mama na mtoto tuwe na majina ya kufanana lkn si kumuenzi eti sijui ndo mpenz wa zamani sijui ndo kidumu.......aaaaaaaaaaaaaah, nachukia sana mm.
 
Mimi nina principle moja:

- Sitamruhusu mke wangu kuchagua jina la mtoto wangu wa kiume (labda TU liwe la baba yake).:nono:

Haa Mentor! Women are powerful,,ukipigwa busu,ukageuzwa ubavu,ukakapapaswa utosini utajikuta unasema "GO AHEAD honey I trust you"
ha ha ha
 
siwezi kufanya huo upumbavu ht kidogo.......yeye amekuwa nani hadi nimuenzi kwa kumpa mtoto jina lake.
km majina yameisha ni heri nimpe ht jina langu ni heri ionekane kuwa mama na mtoto tuwe na majina ya kufanana lkn si kumuenzi eti sijui ndo mpenz wa zamani sijui ndo kidumu.......aaaaaaaaaaaaaah, nachukia sana mm.

Vipi kama mliachana kwa wema?
 
Inaleta picha mbaya lakini kwa mimi X wangu Mwanawe ana jina kama langu lakini hatukuachana kwa ubaya ila haikua rizk mie kuolewa na yeye,na kwa upande wake anasema jina langu analipenda sio eti sababu nnaitwa jina hilo ila roho yake imelipenda hilo jina...na mkewe anajua lakini sioni kama ni tatizo kwake amelichukulia kama jina la kawaida..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom