Amos Makalla kaa chonjo, wamachinga ni jeshi kubwa

Sikumbuki ni president yupi wa USA alikuja, kati ya Bush au Obama hao wamachinga walipigwa marufuku kuonekana mjini kwa siku tatu aisee mji ulipendeza na watu tulipita kwa raha sana
 
Uko tayari uone ndgu zako wafe njaa ili umfurahishe beberu. Jinga kabisa
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Dares salaam bwana Amos Makala mara alipoapishwa tu alitoka mbiombio kwenda kufanya kazi na kero ya kwanza aliyoiona kwenye jiji la Dares salaam ni wamachinga kufanya biashara katikati ya jiji!!
Licha ya kwamba Makalla alishangiliwa sana na Chadema kwa uamuzi wake huo wa kufukuza machinga, lakini sisi tunaona mbali tulimuonya kuwa wamachinga ni jeshi kubwa hutaliweza.
Leo bwana Makalla amepata salamu kutoka Morogoro baada ya mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kufukuzwa kazi kwa kosa la kutuma mgambo kwenda kupiga machinga.

Tukupe ushauri tu bwana Makala kuwa Chadema wanakushindilia uwafukuze machinga wakiwa na malengo yao.
1. Ili wamkomoe mwendazake kwa sababu alijipambanua kama machinga namba moja wa Tanzania.
2.Ili machinga wakikosa kazi basi chadema wataanza kuwanywesha viroba na kuwaandamanisha mitaani.

Makala kama unataka kudumu na u RC wa Dar basi pambana na wauza madawa ya kulevya, wezi wa mafuta bandarini na mafisadi wote ila achana kabisa usiguse wamachinga.
Haiwezekani uajili mgambo uwalipe kwa kodi za wanachi alafu kazi yao iwe kupiga watu wanaojipatia kipato chao halali kabisa bila kuibia mtu yoyote.

Samia = Magufuli.

Mtaelewa tu.
.View attachment 1819725
Mwendazake yupo Kaburini anakomolewa vp kwa mfano?
 
Unaangaika kuitaja taja chadema kama mwanamke malaya badala yakuishauri serikali inayoongozwa na chama chako itatue tatizo la machinga.maana ukweli ni kwamba tatizo la machinga limeshawashinda pakubwa sana na hali ikiendelea hivi baada ya miaka 5 ijayo hamtaweza ata kulizungumzia.Sasa wewe kwa ujinga wako badala uje na mawazo makubwa ya nini kifanyike unawashwa na chadema.
 
Machinga siyo tatizo ni fursa mwaka jana wameiingizia serikali kodi ya billioni 43.

Ni wajinga kama wewe wanaodhani machinga ni tatizo
 
Kama wewe unaona sio tatizo subiri uone viongozi wa serikali yako watakavyohaha na kupapurana kuhusu swala la machinga.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Dares salaam bwana Amos Makala mara alipoapishwa tu alitoka mbiombio kwenda kufanya kazi na kero ya kwanza aliyoiona kwenye jiji la Dares salaam ni wamachinga kufanya biashara katikati ya jiji!!
Licha ya kwamba Makalla alishangiliwa sana na Chadema kwa uamuzi wake huo wa kufukuza machinga, lakini sisi tunaona mbali tulimuonya kuwa wamachinga ni jeshi kubwa hutaliweza.
Leo bwana Makalla amepata salamu kutoka Morogoro baada ya mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kufukuzwa kazi kwa kosa la kutuma mgambo kwenda kupiga machinga.

Tukupe ushauri tu bwana Makala kuwa Chadema wanakushindilia uwafukuze machinga wakiwa na malengo yao.
1. Ili wamkomoe mwendazake kwa sababu alijipambanua kama machinga namba moja wa Tanzania.
2.Ili machinga wakikosa kazi basi chadema wataanza kuwanywesha viroba na kuwaandamanisha mitaani.

Makala kama unataka kudumu na u RC wa Dar basi pambana na wauza madawa ya kulevya, wezi wa mafuta bandarini na mafisadi wote ila achana kabisa usiguse wamachinga.
Haiwezekani uajili mgambo uwalipe kwa kodi za wanachi alafu kazi yao iwe kupiga watu wanaojipatia kipato chao halali kabisa bila kuibia mtu yoyote.

Samia = Magufuli.

Mtaelewa tu.
.View attachment 1819725
Makala siyo mtu wa kukurupuka. Ndiyo maana hakuwahi kuwa kwenye the same page na mkurupukaji mwendazake.

Mama katamka wazi kuwa zinapaswa kutumika njia sahihi za kuwaondoa, siyo kutumia mabavu - which means wamachinga wote lazima eventually wataondolewa kwenye maeneo wasiyostahili kuwepo.

Kwa taarifa yako tu, wale wa Morogoro wote 2 ni "team-mwendazake". Walifanya walichofanya ili kutaka mama aonekane mbaya machoni pa wamachinga na wananchi but bimkubwa akaling'amua hilo because yupo smart upstairs (kinyume na mwendazake ambaye sidhani kama alikuwa anaishughulisha brain yake hata kwa 10% - yeye ilikuwa ni kutumia zaidi msuli kwa kila jambo!).
 
Hii kitu ya kuwaondoa machinga bila makele mbona rahisi, Kwanza wanaandika barua kwa viongozi wa Chinga kwamba wapishe maeneo yasiyo ya kisheria na kama Kuna sehemu ipo wazi wanajulishwa wahamie huko na copy inatumwa kwa Raisi, siku ya kuwaondoa wanapitisha gari la tangazo kuwajulisha maana kuna wale hawapo kwenye vikundi, siku ya kubomoa wanabomoa usiku wakiwa hawapo maana walishatangaziwa, baada ya hapo wanabandika hizo sehemu mabango na kusimika uzio au Onyo ukikitwa sehemu hiyo umepanga vitu Sheria zitachukuliwa na Askari wanapita na gari zao kulinda eneo, bila kufanya hivyo na chinga wakiwazidi serikali nguvu basi kila mtu hatawajibika hasa mitaani Kuna issue ya kulipia usafi na kufata Sheria zingine watu hawatawajibika Wala kulipa kodi, hapo tukumbuke Kuna vitu watu wanauza kwa njia ya online bila kulipa kodi hivyo serikali inatakiwa itoe huo msamaha wa kodi kwenye online goods iwe ndo chinga na machinga wa kupanga barabarani waondolewe wakafanye online.
unachokisahau ni concept muhim kabisa.nan machinga? je anafanya je style yake?
jibu machibga ni fleelancer.yaan hana mipaka anaweka kamb eneo analoona linamfaa
hio sehem haiatawezekana mfano comprex
 
Makala siyo mtu wa kukurupuka. Ndiyo maana hakuwahi kuwa kwenye the same page na mkurupukaji mwendazake.

Mama katamka wazi kuwa zinapaswa kutumika njia sahihi za kuwaondoa, siyo kutumia mabavu - which means wamachinga wote lazima eventually wataondolewa kwenye maeneo wasiyostahili kuwepo.

Kwa taarifa yako tu, wale wa Morogoro wote 2 ni "team-mwendazake". Walifanya walichofanya ili kutaka mama aonekane mbaya machoni pa wamachinga na wananchi but bimkubwa akaling'amua hilo because yupo smart upstairs (kinyume na mwendazake ambaye sidhani kama alikuwa anaishughulisha brain yake hata kwa 10% - yeye ilikuwa ni kutumia zaidi msuli kwa kila jambo!).
Lini mnaanza kuwatoa hao wamachinga hapo Dar?
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Dares salaam bwana Amos Makala mara alipoapishwa tu alitoka mbiombio kwenda kufanya kazi na kero ya kwanza aliyoiona kwenye jiji la Dares salaam ni wamachinga kufanya biashara katikati ya jiji!!
Licha ya kwamba Makalla alishangiliwa sana na Chadema kwa uamuzi wake huo wa kufukuza machinga, lakini sisi tunaona mbali tulimuonya kuwa wamachinga ni jeshi kubwa hutaliweza.
Leo bwana Makalla amepata salamu kutoka Morogoro baada ya mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kufukuzwa kazi kwa kosa la kutuma mgambo kwenda kupiga machinga.

Tukupe ushauri tu bwana Makala kuwa Chadema wanakushindilia uwafukuze machinga wakiwa na malengo yao.
1. Ili wamkomoe mwendazake kwa sababu alijipambanua kama machinga namba moja wa Tanzania.
2.Ili machinga wakikosa kazi basi chadema wataanza kuwanywesha viroba na kuwaandamanisha mitaani.

Makala kama unataka kudumu na u RC wa Dar basi pambana na wauza madawa ya kulevya, wezi wa mafuta bandarini na mafisadi wote ila achana kabisa usiguse wamachinga.
Haiwezekani uajili mgambo uwalipe kwa kodi za wanachi alafu kazi yao iwe kupiga watu wanaojipatia kipato chao halali kabisa bila kuibia mtu yoyote.

Samia = Magufuli.

Mtaelewa tu.
.View attachment 1819725
Kudos Samia. Tanzania ni yetu sote wakiwemo machinga.
 
Siyo kwamba rais haungi mkono wale machinga kuondolewa pale bali ni namna alivyowaondoa..
Hata mimi wameniudhi, ni waonevu.
 
Sikumbuki ni president yupi wa USA alikuja, kati ya Bush au Obama hao wamachinga walipigwa marufuku kuonekana mjini kwa siku tatu aisee mji ulipendeza na watu tulipita kwa raha sana
Mji ulipendeza ila mtaani tuliipiwa hadi sufuria zikiwa jikoni!
Hii nchi ni yetu sote, kuwafukuza machinga na kueapeleka mbali na Mji ni ubaguzi kuliko hata uke wa kaburu wa Afrika Kusini enzi zile!
 
Naona kidonda mlichokilea kinageuka kuwa jipu. Hii ni sababu za cheap politics, litawasumbua sana. Biashara hazifanyiki kwa sababu ya huu utitiri wa machinga kila mahali. Tujifunze kuongoza kwa weledi na sio sio chep politicts hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom