Amos Makalla kaa chonjo, wamachinga ni jeshi kubwa

Ni wazi kuwa lipo tatizo kubwa mahali.

Inaweza kufanana na kemeo la TRA zidi ya kudeal na walipakodi.

Kwamba wasibughudhiwe .

Lakini chakujiuliza voluntary compliance level status ikoje nchini?

Ngojatuone !
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Dares Salaam bwana Amos Makala mara alipoapishwa tu alitoka mbiombio kwenda kufanya kazi na kero ya kwanza aliyoiona kwenye jiji la Dar es Salaam ni wamachinga kufanya biashara katikati ya jiji!

Licha ya kwamba Makalla alishangiliwa sana na Chadema kwa uamuzi wake huo wa kufukuza machinga, lakini sisi tunaona mbali tulimuonya kuwa wamachinga ni jeshi kubwa hutaliweza.

Leo bwana Makalla amepata salamu kutoka Morogoro baada ya mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kufukuzwa kazi kwa kosa la kutuma mgambo kwenda kupiga machinga.

Tukupe ushauri tu bwana Makala kuwa Chadema wanakushindilia uwafukuze machinga wakiwa na malengo yao.
1. Ili wamkomoe mwendazake kwa sababu alijipambanua kama machinga namba moja wa Tanzania.
2. Ili machinga wakikosa kazi basi chadema wataanza kuwanywesha viroba na kuwaandamanisha mitaani.

Makala kama unataka kudumu na u RC wa Dar basi pambana na wauza madawa ya kulevya, wezi wa mafuta bandarini na mafisadi wote ila achana kabisa usiguse wamachinga.

Haiwezekani uajili mgambo uwalipe kwa kodi za wanachi alafu kazi yao iwe kupiga watu wanaojipatia kipato chao halali kabisa bila kuibia mtu yoyote.

Samia = Magufuli.

Mtaelewa tu.

.View attachment 1819725
Tatizo hili sii la kivyama, ila mtoa mada anataka kuwahusisha CDM kwa kitu wasichohusika kwa kukianzisha wala kulitoa wao hawapo madarakani ila mtoa mada anataka kuwadrag CDM kwenye matope. Hili ni tatizo waliolilea ni Serikali iliyopita ikitafutwa kuungwa mkono na wanaoitwa wanyonge Hitler style of remaining in power. Sasa kuliondoa linahitaji nguvu na ushawishi mkubwa kwani miji haiwezi kuendeshwa hivi.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Dares Salaam bwana Amos Makala mara alipoapishwa tu alitoka mbiombio kwenda kufanya kazi na kero ya kwanza aliyoiona kwenye jiji la Dar es Salaam ni wamachinga kufanya biashara katikati ya jiji!

Licha ya kwamba Makalla alishangiliwa sana na Chadema kwa uamuzi wake huo wa kufukuza machinga, lakini sisi tunaona mbali tulimuonya kuwa wamachinga ni jeshi kubwa hutaliweza.

Leo bwana Makalla amepata salamu kutoka Morogoro baada ya mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kufukuzwa kazi kwa kosa la kutuma mgambo kwenda kupiga machinga.

Tukupe ushauri tu bwana Makala kuwa Chadema wanakushindilia uwafukuze machinga wakiwa na malengo yao.
1. Ili wamkomoe mwendazake kwa sababu alijipambanua kama machinga namba moja wa Tanzania.
2. Ili machinga wakikosa kazi basi chadema wataanza kuwanywesha viroba na kuwaandamanisha mitaani.

Makala kama unataka kudumu na u RC wa Dar basi pambana na wauza madawa ya kulevya, wezi wa mafuta bandarini na mafisadi wote ila achana kabisa usiguse wamachinga.

Haiwezekani uajili mgambo uwalipe kwa kodi za wanachi alafu kazi yao iwe kupiga watu wanaojipatia kipato chao halali kabisa bila kuibia mtu yoyote.

Samia = Magufuli.

Mtaelewa tu.

.View attachment 1819725
We mjinga ujumbe ni kwa wale katili waliolekewa na jiwe kupiga watu na kutumia mabavu

Ingekuwa kipindi cha mungu wenu hao mgambo waliopiga raia ingeamliwa wote waajiriwe kwenye jeshi la kujenga Taifa jkt

Au nasema uongo ndugu zanguuuu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Naona kidonda mlichokilea kinageuka kuwa jipu. Hii ni sababu za cheap politics, litawasumbua sana. Biashara hazifanyiki kwa sababu ya huu utitiri wa machinga kila mahali. Tujifunze kuongoza kwa weledi na sio sio chep politicts hovyo kabisa.
Wamachinga walipoacha kupigwa na kufukuzwa hovyo Tanzania ikaingia uchumi wa kati
 
Wako bize kukwepa kodi, kwanza hawatoi rist na wakiona TRA wanafunga maduka.

1.
Labda hapo kwenye kutotoa receipts za EFD ni kweli siku hizi wamezidi hawatoi kabisa na kwa upepo unaovuma sasa na matamko Ndiyo kabisa hata mwamko wa wateja kudai receipts umeshuka maradufu.

2.
Kuhusu kukwepa kodi kwa daraja hilo la wafanyabiashara wadogo watakwepaje wakati wanakuwa wameshakadiriwa kila Mwaka na kwa hiyo wanatakiwa kulipa kila baada ya miezi 3 ?

Ndicho wanacholalamika wao kodi yao kubwa kuliko machinga lakini machinga huenda kukaa mbele ya frames zao/ maduka yao na kuuza wao wamachinga ili hali kodi zao machinga ama hawalipi kabisa au ni ile ya 20,000 /- kwa Mwaka mzima.

Sasa mteja akishanunua kwa machinga dukani haendi tena kwa hiyo mwenye duka hawezi kuuza.

Kumbuka mwenye frame au duka analipa kodi ya pango ambapo machinga halipi hiyo gharama.

Ngoja nisuingie ndani zaidi.
 
Kuna wafanyabiashara wanafurahia uwepo wa machinga sababu inawasaidia kutolipia kodi hayo mauzo ya machinga.

Kwani machinga akiuza anatoa stakabadhi ya mashine ya EFD?
 
rwanda capital
Screenshot_20210616-110310.jpg
 
1.
Labda hapo kwenye kutotoa receipts za EFD ni kweli siku hizi wamezidi hawatoi kabisa na kwa upepo unaovuma sasa na matamko Ndiyo kabisa hata mwamko wa wateja kudai receipts umeshuka maradufu.

2.
Kuhusu kukwepa kodi kwa daraja hilo la wafanyabiashara wadogo watakwepaje wakati wanakuwa wameshakadiriwa kila Mwaka na kwa hiyo wanatakiwa kulipa kila baada ya miezi 3 ?

Ndicho wanacholalamika wao kodi yao kubwa kuliko machinga lakini machinga huenda kukaa mbele ya frames zao/ maduka yao na kuuza wao wamachinga ili hali kodi zao machinga ama hawalipi kabisa au ni ile ya 20,000 /- kwa Mwaka mzima.

Sasa mteja akishanunua kwa machinga dukani haendi tena kwa hiyo mwenye duka hawezi kuuza.

Kumbuka mwenye frame au duka analipa kodi ya pango ambapo machinga halipi hiyo gharama.

Ngoja nisuingie ndani zaidi.
Lakini tumeingia uchumi wa kati maana yake hatua zinazochukuliwa ni sahihi
 
Machinga siyo tatizo ni fursa mwaka jana wameiingizia serikali kodi ya billioni 43.

Ni wajinga kama wewe wanaodhani machinga ni tatizo
We nae vipi,kuingizia serikali kodi ya billion 43 si sababu ya kuwaruhusu kupanga bidhaa barabarani. Kila raia ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Lakini tumeingia uchumi wa kati maana yake hatua zinazochukuliwa ni sahihi

Uchumi wa kati gani @ Elitwege?

Mbona mnasema sababu za korona ambapo ilikuwa mwiko kutajwa mpaka ikaitwa changamoto za kupumua?

Kwani kulifanyika lockdowns?!
 
Nashindwa kuelewa mtu yeyote mwenye upeo wa wastani anaeweza kushabikia huu upuuzi wa wamachinga. Ni lazima waondoke barabarani tu hakuna njia mbadala. Huwezi endesha miji hivi under any standards. Hili linawezekana kwa kiongozi mjinga na mwenye kupenda cheap politics . Lazima tubadilike tu if we have to lift our economy. Nguvu itumike waondoke mara moja. Watafutiwe eneo mbadala nje ya CBD kwenye miji yote wawekewe mifumu kama vyoo barabara nk. Sio city centers/town centers.
 
Back
Top Bottom