- Njia ipi iliyobora ya kuwaondoa Machinga bila kuwepo na msuguano na watendaji wa serikali?Mkuu wa mkoa mpya wa Dares salaam bwana Amos Makala mara alipoapishwa tu alitoka mbiombio kwenda kufanya kazi na kero ya kwanza aliyoiona kwenye jiji la Dares salaam ni wamachinga kufanya biashara katikati ya jiji...
Maana kwa maendeleo ya miji mingi ( na uhaba wa maeneo)si rahisi kupata eneo la wazi ambalo unaweza kuwapeleka hawa ndugu zaidi ya maeneo ya pembezoni ambako mara nyingi hakuna wateja.
- Pamoja na hoja ya utetezi wa machinga ukweli nikuwa kwa namna wanavyoendesha biashara zao imekuwa ni kero kila mahali ifike mahali unafiki uachwe na nyekundu iitwe nyekundu na hatua stahiki zichukuliwe.