Amos Makalla kaa chonjo, wamachinga ni jeshi kubwa

Amos Makalla kaa chonjo, wamachinga ni jeshi kubwa

na wenyw fremu nao hawauzi mana vibabda vimejengwa mpaka mbele ya milango.na wao waangaliwe.walisem juz kkoo hawawez kupitisha mzigo


Sasa cha kujiuliza kodi anayokadiriwa mwenye frame inalingana na kodi anayokadiriwa machinga?
 
Sio chadema bali mtu yeyote anaekereka na wamachinga lazima ufurahi, haiwezekani barabara yote wapo wao tu
Sio tu wanakereka,sema mfanya biashara mwenye duka kariako na mlipa kodi halali,yeye ana mtazamaji vipi machinga anayefanyia kazi zake mlangoni mwake, lazima tuone hili lilikuwa ni kosa kubwa na kadiri linavyo acha kupatiwa ufumbuzi linazidi kuwa tatizo na kuzorotesha uchumi, ajira hakuna njia nyepesi kupata kipato ni kusogea mjini kufanyia biashara mlangoni kwa mfanyabiashara mwingine mlipa kodi.Tuamke kutoka usingizini na tulichukulie hili Kama jambo la dharura.
 
Namuunga Mkono RC Makalla kwa nia yake ya kuwapanga machinga upya na sehemu sahihi.

kusema kweli kwa sasa wamachinga wamekuwa kerooo ktk maeneo waliopo kwa sasa, suala hapa sio wao kufanya biashara lkn pia sisi wateja lazima tuangaliwe usalama wetu, lkn pia miundombinu inaharibika kutokana na uholela uliopo sasa.

jana nimepita mitaa ya Kongo na Tandamti nimekuta miundombinu ya maji taka imezibwa na vibanda, harufu kila kona, hakuna ustaarabu.

tubadilike, wamachinga wapangwe upya.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Dares salaam bwana Amos Makala mara alipoapishwa tu alitoka mbiombio kwenda kufanya kazi na kero ya kwanza aliyoiona kwenye jiji la Dares salaam ni wamachinga kufanya biashara katikati ya jiji...
Kweli mkuu huyu Makala tangu aingie hapa Dar anapandisha mabega sana juzi nimemsikia pia anaongelea Coco Beach eti anasema kwa kejeli kabisa eti kwanini hapo wauze mihogo tu?

Tunajua anataka kuleta wahindi wake ili awafukuze wauza mihogo tutakula naye sahani moja. Hatutaki watz wanyanyashwe kwenye nchi yao.
 
Yaani unaokoteza very minor issues, na kuhusu yule mwendazake ndio basi tena hata iweje harud ng'o
Jamaa anahangaika sana, anadandia maneno halafu anaongezea yake
 
Kweli mkuu huyu Makala tangu aingie hapa Dar anapandisha mabega sana juzi nimemsikia pia anaongelea Coco Beach eti anasema kwa kejeli kabisa eti kwanini hapo wauze mihogo tu? Tunajua anataka kuleta wahindi wake ili awafukuze wauza mihogo tutakula naye sahani moja. Hatutaki watz wanyanyashwe kwenye nchi yao.
Hawezi kugusa cocobeach akabaki salama
 
Wamachinga tunasema tuguse, tunuke...Tuzingue , tuzinguane !🐒
 
Chadema wanapata nguvu sana machinga wakinyanyaswa... maana wanajua ni rahisi kuwaambia waandamane.. .

Machinga anaanzia wapi kuandamana kama ameruhusiwa kufanya biashara kwa amani?
Ndiyo maana chadema inawauma sana wakiona machinga hawabugudhiwi
 
Sio kuwafukuza bali amesema watapangwa vizuri maana kwasasa wapo wamezagaa wanazuia hadi njia za wapita kwa miguu na magari.
 
Machinga ndio mtaji wake kupata ushindi ama kuonekana anajali wanyonge....
Hii CCM ni ya kutoa tu madarakani..wamechoka na hawana tena jipya.

Hawana tena utawala wa sheria badala yake wanaongoza kwa jinsi kiongozi husika anavyojisikia ili kulinda maslahi yake.
 
Wamachinga tunasema tuguse, tunuke...Tuzingue , tuzinguane ![emoji205]
lakin kiongoz mazingira tunaharibu sana.kkoo nyanya zipo kwneye mtaro ambao chini ni maji ya choo na hapo hapo kuna mabanda ya chakula.shacks je ni sawa?
 
Hii CCM ni ya kutoa tu madarakani..wamechoka na hawana tena jipya.
Hawana tena utawala wa sheria badala yake wanaongoza kwa jinsi kiongozi husika anavyojisikia ili kulinda maslahi yake.
Ebu itoe tuone
 
Tukupe ushauri tu bwana Makala kuwa Chadema wanakushindilia uwafukuze machinga wakiwa na malengo yao.
1. Ili wamkomoe mwendazake kwa sababu alijipambanua kama machinga namba moja wa Tanzania.
2.Ili machinga wakikosa kazi basi chadema wataanza kuwanywesha viroba na kuwaandamanisha mitaani.
Usimtishe Makalla. Mama SSH amesema wazi kabisa kwamba anataka wamachinga wafukuzwe lkn siyo kwa kupigwa, kuharibiwa na kupokwa mali zao
 
Tuache ushabiki machinga ni kero kinachotakiwa ni kujipanga jiji haliwezi kuwa takataka namna hii kisa kuwaogopa machinga no Kariakoo hata sehemu ya kukanyaga hamna
Ufisadi umeisha hadi ukahangaike na machinga?
 
Tuache ushabiki machinga ni kero kinachotakiwa ni kujipanga jiji haliwezi kuwa takataka namna hii kisa kuwaogopa machinga no Kariakoo hata sehemu ya kukanyaga hamna
Subiri Mbowe awe rais ndiyo mtawafukuza machinga
 
Back
Top Bottom