Amos Makalla kaa chonjo, wamachinga ni jeshi kubwa

Yani wengi watavunjika moyo kushughulikia tatizo la machinga.

Imeshakuwa na nongwa!

Sijui hatima ya Dar itakuwaje?!
Nadhani Rais anachotaka ni kuwatafutia solution wamachinga sio kuwadump maeneo ambayo hayana wateja maana ni kuwamaliza kibiashara.

Wamachinga watafutiwe solution endelevu sio kuwapiga kama mbwa tu, Wana family na wamenunua zile bidhaa wanazoziuza meaning wameweka capital yao tuwaangalie kama wafanyabiashara wadogo dawa sio kuwafukuza tu Bali no kuwatafutia maeneo mbadala yenye mazingira mazuri ya kibiashara pamoja na huduma muhimu kama vyoo, vyakula nk.

Tunaweza kuamua kuwaweka maeneo kama jangwani ambapo wanakuwa wanaweka biashara zao sio permanently hii ndio maana halisi ya kuwatafutia maeneo. Tuna maeneo mengi ya wazi tunaweza kuwaweka huko.
 
Shida ni Hayati aliwapa cheap thinking
Kariakoo watu fremu millions ila mtu unataka uuze mbele ya duka lake rent free and tax free

kumlipisha kodi machinga ngumu sana mana yuko mobile...

wakajazwe machinga complex kwa kuanzia

ts not fair kwa walipa kodi wenye fremu
Machinga complex ilishashindikana tangu awali. Lakini sio fair kwa wenye maduka kariakoo. Machinga wameua biashara zao kwa kiwango kikubwa.
 
Shida ni Hayati aliwapa cheap thinking
Kariakoo watu fremu millions ila mtu unataka uuze mbele ya duka lake rent free and tax free

kumlipisha kodi machinga ngumu sana mana yuko mobile...

wakajazwe machinga complex kwa kuanzia

ts not fair kwa walipa kodi wenye fremu
Mwaka wa 5 huu wenye fremu hawajawahi kufunga kwa sababu ya machinga
 
Magufuli alikuwa ni mtu ambaye anapenda kuona tu linakuwa lile analolitaka liwe ila sasa inategemea hilo jambo linaangukia wapi kwamba ni zuri au baya la haki au si haki.
Enzi ya magufuli wamachinga walilipa kodi billion 43
 
Sio tu wanakereka,sema mfanya biashara mwenye duka kariako na mlipa kodi halali,yeye ana mtazamaji vipi machinga anayefanyia kazi zake mlangoni mwake,lazima tuone hili lilikuwa ni kosa kubwa na kadiri linavyo acha kupatiwa ufumbuzi linazidi kuwa tatizo na kuzorotesha uchumi,ajira hakuna njia nyepesi kupata kipato ni kusogea mjini kufanyia biashara mlangoni kwa mfanyabiashara mwingine mlipa kodi.Tuamke kutoka usingizini na tulichukulie hili Kama jambo la dharura.
Dawa ya tatizo ni kulitatua siyo kulikimbia au kutumia mabavu...Wataalamu wasaidie kuleta utatuzi kwenye hili swala...Machinga wanahitaji ajira na wengi wao ni vijana ambao wamekuja tutafuta maisha
 
CCM wanatengeneza taifa la walalahoi halafu wanafurahia mbwa hawa , taifa la mamachinga wtf ! M ashindwa kutengeneza mazingira Bora ya sekta binafsi makampuni ya kigeni yenye mitaji kikubwa na reputation nzuri kujackuwekeza katika miundo mbinu , viwanda na biashara nyie mbawaza kutengeneza taifa la wauza pipi na karanga , motherfuckers
Matajiri wote walianzia chini kabisa
 
Hii kitu ya kuwaondoa machinga bila makele mbona rahisi, Kwanza wanaandika barua kwa viongozi wa Chinga kwamba wapishe maeneo yasiyo ya kisheria na kama Kuna sehemu ipo wazi wanajulishwa wahamie huko na copy inatumwa kwa Raisi, siku ya kuwaondoa wanapitisha gari la tangazo kuwajulisha maana kuna wale hawapo kwenye vikundi, siku ya kubomoa wanabomoa usiku wakiwa hawapo maana walishatangaziwa, baada ya hapo wanabandika hizo sehemu mabango na kusimika uzio au Onyo ukikitwa sehemu hiyo umepanga vitu Sheria zitachukuliwa na Askari wanapita na gari zao kulinda eneo, bila kufanya hivyo na chinga wakiwazidi serikali nguvu basi kila mtu hatawajibika hasa mitaani Kuna issue ya kulipia usafi na kufata Sheria zingine watu hawatawajibika Wala kulipa kodi, hapo tukumbuke Kuna vitu watu wanauza kwa njia ya online bila kulipa kodi hivyo serikali inatakiwa itoe huo msamaha wa kodi kwenye online goods iwe ndo chinga na machinga wa kupanga barabarani waondolewe wakafanye online.
 
Kama wameshindwa kuwaondoa machangudoa wataweza kuwaondoa wamachinga ?
 
Watu wenyewe kura hawapigi wala Kodi hawalipi, MTU anahamishia mini super market barabarani lol!! Wenye supermarket watapata wapi wateja ili walipe Kodi!?
 
Kama wameshindwa kuwaondoa machangudoa wataweza kuwaondoa wamachinga ?
Hao kazi zao ni usiku kwa kujificha na siyo group kubwa Kama chinga na Wala hawakwamishi kodi kwa serikali sana sana wao ni mambo ya mtu binafsi na uaminifu wake kwa Mungu wake Ila wale wanaovunja Sheria wanawajibishwa tena wakiwajibishwa hawapigi makele kama chinga kujionyesha kwa Raisi ionekane wanaonewa.
 
Zitaje hizo sehemu rasmi
Sasa kazi ya barabara ni kupanga bidhaa!? Mimi kwa mawazo yangu kwa dar, hats wengenyanyua jangwani mwendo kasi, karume, kidongo chekundu na maeneo mengi ya wazi kulingana na uhitaji pouwa tu, ila wanaolipa Kodi wawezeshwe wateja kuwafikia
 
Hivi mteja humfuata mfanyabiashara au mfanyabiashara humfuata mteja? Maana kilichomponza DC wa Morogoro ni kuwahamishia chingas maeneo ambayo wao wamedai hakuna wateja. Kwa jangwani, kidongo chekundu nahisi case ya Morogoro itajirudia.
 
Mkuu wa mkoa mpya wa Dares salaam bwana Amos Makala mara alipoapishwa tu alitoka mbiombio kwenda kufanya kazi na kero ya kwanza aliyoiona kwenye jiji la Dares salaam ni wamachinga kufanya biashara katikati ya jiji!!
Licha ya kwamba Makalla alishangiliwa sana na Chadema kwa uamuzi wake huo wa kufukuza machinga, lakini sisi tunaona mbali tulimuonya kuwa wamachinga ni jeshi kubwa hutaliweza.
Leo bwana Makalla amepata salamu kutoka Morogoro baada ya mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kufukuzwa kazi kwa kosa la kutuma mgambo kwenda kupiga machinga.

Tukupe ushauri tu bwana Makala kuwa Chadema wanakushindilia uwafukuze machinga wakiwa na malengo yao.
1. Ili wamkomoe mwendazake kwa sababu alijipambanua kama machinga namba moja wa Tanzania.
2.Ili machinga wakikosa kazi basi chadema wataanza kuwanywesha viroba na kuwaandamanisha mitaani.

Makala kama unataka kudumu na u RC wa Dar basi pambana na wauza madawa ya kulevya, wezi wa mafuta bandarini na mafisadi wote ila achana kabisa usiguse wamachinga.
Haiwezekani uajili mgambo uwalipe kwa kodi za wanachi alafu kazi yao iwe kupiga watu wanaojipatia kipato chao halali kabisa bila kuibia mtu yoyote.

Samia = Magufuli.

Mtaelewa tu.
.View attachment 1819725
Ilitosha tu kutoa tahadhari. Kuingiza vyama umebugi sana. Ni kweli machinga wana nguvu kwa wingi wao na kwa vile wako mitaa ya mjini
 
Issue sio machinga kuondolewa Bali utaratibu wa kuwatoa kwa kuwapiga na kuwaharibia Mali zao ndio shida.

Mama amekasirishwa na utaratibu mbovu na vipigo kwa raia
 
Back
Top Bottom